Domain Names! Hosting! Website Design ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Domain Names! Hosting! Website Design !

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Domain Name, Jun 19, 2012.

 1. D

  Domain Name Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dear Wanabodi
  Napenda kukaribisha kampuni mbalimbali,wajasiliamali,NGOs (PUNGUZO MAALUMU LITAHUSIKA KWA HAWA),mashirika ya umma,na taasisi za serikali kukaribia huduma zifuatazo:

  1.Domain Names Registration-Hapa wadau mtaweza jipatia jina la website .com, .info ,.org , .firm ,.tv nk (BURE KABISA) utachotakiwa kufanya ni kuwa na jina lako tayari kwa usajili.kama hauna unaweza omba ushauri kwetu kulingana na jina la shughuli yako pia bidhaa unazouza.

  2. Hosting Services –Hapa wadau utajipatia huduma ya kuhifadhi files zako online kwa kupata disk space kubwa kuliko mahitaji yako yanavoweza kuwa,GHARAMA ya Tsh 5,000/= kwa mwezi itahusika,ambapo utatakiwa kulipia kwa muda usiopungua mwaka.uptime 99.99999% is guaranteed

  3. Website Design-Kuhusu muonekano wa website apa ndo panahusika,kwanza tutakupa ushauri kwa kuzingatia aina ya shughuli yako,muonekano unaopendelea,na functionality za web tarajiwa,then tutafikia mwisho wa kazi kwa kuidhinishiwa nawe kuwa umepata ulichotarajia.Gharama ya design itategemea zaidi ukubwa wa kazi yako ingawa sera yetu ni kutachaji zaidi ya gharama halisi.

  Lengo ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa za makampuni mbalimbali kwa walengwa wao.Pia kuondoa dhana ya kuchaji gharama kubwa isivyostahili kunakofanya na wengine

  Karibuni sana.
  Wenu katika ujenzi wa Taifa,
  johnmax128@gmail.com (emails @ domain names zangu zipo nyingi -usije hoji mbona mwenyewe hujaji-ganga )
   
Loading...