Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,914
- 3,438
asante ngoja niwachek, ila umewahi kuhost kwao?? wapo reliable??IloveTZ Free & Premium Webhosting 500MB Free, 10GB-5000/= PM
asante mkuu, nitawasiliana nao nijue.wasiliana na maxence Melo wa jamii forum/jamii media inc. wana bei poa na huduma ya uhakika! Wacha kukimbizana kwingine. Hata ukidrop PM kwa invisible bado utasaidiwa tu!
@Makirita Amani
asante ngoja niwachek, ila umewahi kuhost kwao?? wapo reliable??
nataka ku-uppload website yangu, naomba ushauri ni kampuni gani kwa tanzania hapa wanaotoa huduma za domain name na hosting kwa bei nafuu, pia ingekuwa vizuri kama ningepewa list ya options zinazotolewa na bei zake.
??????search google utajionea mwenyewe..
Nashauri utumie Extreme Web Technologies.
Wako fast na Customer care na sijapata matatizo makubwa so far!
hiviii ngoja niulize hawa jamaa wanaohost tanzania wana server zao hapa hapa bongo au nao ni reseller tu wananunua space kwa jumla then wanahost bongo
hiviii ngoja niulize hawa jamaa wanaohost tanzania wana server zao hapa hapa bongo au nao ni reseller tu wananunua space kwa jumla then wanahost bongo
Donn,
Mimi binafsi sijapata tatizo nao maana nikiwataarifu ishu yoyote wanaimaliza kwa wakati. Mara ya mwisho kufanya nao kazi ni lini?
ni mwaka huu huu... Na mpaka nikagairi kabisa