Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,907
Hiyo figure ameitamka mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage akiongea na waandishi wa habari akimtaka mchezaji wa Rwanda aliyesajiliwa na Simba azirudishe, zikiwa ni gharama za mawakili, gharama za usafiri na hela aliyopewa mchezaji huyo

inakuaje asaini mkataba halaf arudishe fedha? kunan hapa?
Ndugu yangu kutokana na maelezo ya Rage, kuna mtoto wa kigogo mmoja (TZ one) nchini ameamua kuvuruga amani na furaha ya wastaarabu. Mimi naogopa kusema sana Bwana Mwalu, tukumbushane hili Desemba, 2015. Hapo nitatoa kauli bila woga. Acha tu niumie roho kwa kipindi cha miaka hii iliyobaki sawa na namba ya beki Amir Maftaha.
Kwa binadamu uchungu!mkuki kwa nguruwe,je mnakumbuka yale ya Juma Kapuya kumuidhinisha V.Costa kucheza simba wakati kala pesa ya Yanga?na pia kupitisha majina ya wachezaji wa simba eti ndio timu ya taifa?Rage akae kimya!