mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,208
- 1,109
ilikuwa ngapi na imefikia ngapi? na ni mwaka gani na mwaka gani? ni mwezi gani na mwezi gani?Wiki hii inaonekana sarafu yetu inazidi kuporomoka..
Bei ya dola inazidi kupaa ..kulikoni thamani ya fedha yetu..
Uthibiti wa matumizi holela ya fedha za kigeni wapaswa kutekelezwa kwa vitendo...
Kodi za nyuma,ada za shule,uagizaji bidhaa,malipo ya huduma mbalimbali...
Wenzetu Afrika Kusini wameweza na wamefanikiwa kwa kiwango kikuu kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni ndani ya nchi yao..Imewasaidia sana kuujenga uchumi wao,kuudhibiti uchumi wao..
US $1 = TZS 2,225/- kutoka TZS 2,186/-kwenye kipindi kama juma moja hivi!Imefika wapi?
dola bei gani? leta takwimuWiki hii inaonekana sarafu yetu inazidi kuporomoka..
Bei ya dola inazidi kupaa ..kulikoni thamani ya fedha yetu..
Uthibiti wa matumizi holela ya fedha za kigeni wapaswa kutekelezwa kwa vitendo...
Kodi za nyuma,ada za shule,uagizaji bidhaa,malipo ya huduma mbalimbali...
Wenzetu Afrika Kusini wameweza na wamefanikiwa kwa kiwango kikuu kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni ndani ya nchi yao..Imewasaidia sana kuujenga uchumi wao,kuudhibiti uchumi wao..
Last week 1$ = 2178 TshNaona mtoa mada hajui hata rate ilikuwa ngapi na sasa iko ngapi, pengine anaongelea ZimDollar
weee acha hizo na hii jeNi kawaida kupanda na kushuka. Muache kupandikiza mitazamo hasi kwa kila jambo
Hii mbona kawaida sana, inapanda na kushuka kila malaUS $1 = TZS 2,225/- kutoka TZS 2,186/-kwenye kipindi kama juma moja hivi!
Kawaida sana, hakuna kigeni hapoLast week 1$ = 2178 Tsh
Leo 1$ = 2212 Tsh
Unataka nini tena
Mkuu una akili wewe!weka ilivyopanda kutoka ngapi hadi ngapi, la sivyo uzi huu hautakiwi kuwepo..
Lakini mkuu mwaka 2015, tulishudia constant dropping ya shiling Tanzania mpaka kufikia 2180 kutoka 1600, na ikabaki hapo kwa karibu mwaka wote 2016 haikupanda wala kushuka, mwaka huu imeanza kushuka tena leo unatuambia tuone kawaida wakati tunategemea kuagiza vitu vingi ikiwemo mafuta toka nje?Kawaida sana, hakuna kigeni hapo
Mkuu Google rate ya 2015 haikufika 1600, kazi zangu natumia sana dollar, kulipia sehemu mbali mbali.Lakini mkuu mwaka 2015, tulishudia constant dropping ya shiling Tanzania mpaka kufikia 2180 kutoka 1600, na ikabaki hapo kwa karibu mwaka wote 2016 haikupanda wala kushuka, mwaka huu imeanza kushuka tena leo unatuambia tuone kawaida wakati tunategemea kuagiza vitu vingi ikiwemo mafuta toka nje?