Inaashiria mambo kadhaa kama vile
-Uongozi wetu hapa hauna maslahi kwa chama wana wanachama
-Sisi tunafanya mambo kwa pupa mno bila ya kuwa na mipango
-Kweli tulikuwa na mipango mingi lakini hii inaashiria kuwa hatuko makini kwenye mipango na si wakweli
-Tumekuwa wabinafsi na mambo kama haya ndio ambayo yanatufanya sisi wengine tuvunjike moyo na viongozi wetu
-Tumekuwa detached from the real issues....kweli tunahitaji kuimarisha chama Diaspora lakini hakuna maana ya kutumiwa pesa hizo halafu tunazifuja
-Akina Susan Mzee (CCM Reading) wanalaumiwa kama ndio walio suka dili zima la kula pesa lakini hata kamati iliyoundwa hatuna imani nayo sisi wengine kwani imejaa wale wale ambao si waadilifu
-Chama UK kimekuwa hakituambii ukweli wa hili jambo na kusema ukweli sisi wengine tumekuwa demoralised kabisa
-Katika hali ya uchumi ilivyo nyumbani the last thing tunachohitaji ni kutumiwa mapesa mengi kama haya. Sisi wenyewe tungeanza kujipanga na kuanza jambo then tungeomba kusaidiwa half way through lakini sio hii style ya kupewa pesa kwani tunajua leo London, Kesho Mosco, kesho kutwa kwa bwana William New York etc
Mkuu utaona watavyojifanya kuchukua hatua baada ya kuona yamefika humu tena safari hii viongozi wa juu kabisa maana wengi wapo humu kama guest na wachache waliojitoa mhanga kama Nape kwa majina yao.250,000 usd! Haya bana fukara Tz.Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongoziwenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwana si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuriTunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchisasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
We vp!kila kitu source!!soma habari,elewa,then changanya na zako!huijui ccm?Source?
Hizo fedha sijui wanatumiwa kwa ajili ya kufanyia nini? na sijui kwanini hawakutumiwa Pound wakatumiwa Dolla? nani sijui anatuma hizi fedha?
kwa kuongezea tuu ni kuwa imeundwa kamati ya kufuatilia na kujua pesa zimepotelea wapi
so far tunaambiwa kuwa kati ya milioni 300 na zaidi zishaliwa zaidi ya 150 na zingine zinaendelea kuliwa
Pesa imetoka Tanzania kwa dola lakini ikija huku inaingia kama paundi...mind you kumbe pesa zilitumwa kisiri siri
sasa pesa zimepotea...huku kinachoendelea tunaambiwa ohhh tuunde kamati. mimi najiuliza kamati ya nini wakati ni straight fwd case?
Pesa imetumwa
Pesa zimeingizwa kwenye akauni ya mtu/kampuni
Pesa zinaonekana zimepungua
Pesa hazionekani
watu wanaanza kulalamika ndio inajulikana kuwa alaaaaa kumbe kuna wajanja washakulaaaaa bas vikao tukaanza kufanya kwa kuuliza kulikoni
In short waliochonga dili mpaka pesa zikatumwa wakawa wamepotea
sasa kamati iliyoundwa watu washaanza kuzungumza kuwa walipiwe ticket za kwenda bongo kuchunguza....na safari kama mjuavyo, kutakuwa na ticket, matumizi etc
This is indefensible. Sisi kama chama UK tulitakiwa tusaidie watu nyumbani kwani walau tuna wepesi wa maisha lakini watu bila aibu wako bize kula pesa.
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.
sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi
wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa
na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri
Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi
sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
Hiyo kamati nayo wanataka wakidhi njaa zao.Ni kitu gani ambacho wanafuatilia bongo wameshindwa kupata kwenye simu au kwa internet.kwa kuongezea tuu ni kuwa imeundwa kamati ya kufuatilia na kujua pesa zimepotelea wapi