Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.
jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi yakamtoka. kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale,,,,,,
NAWATAKIA LUNCH NJEMAA,,,,
Tehhhhhhheeeeehfupi tamu ndefu inakera
Jamaa ana tatizo kaingia
kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka
mgonjwa.
jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona ustaarabu
ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi
yakamtoka. kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri Ya AAA (betri
za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo
yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale,,,,,,
NAWATAKIA LUNCH NJEMAA,,,,