Dokta magumashi

haaaaaa huyu alisomeshwa na hela za mgao wa ESCROW
 
kuna siku nesi alipigwa na butwaa kuona mgonjwa wake anazungumza kihindi wakati mgonjwa huyo ni mswahili na wala hakukijua kihindi. daktari alipoulizwa ni kwa nini imetokea hivyo, akadai kuwa faili la mgonjwa yule linaonesha kuwa aliwekewa damu ya bwana Somji Prakesh Kanjibal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…