Dokii , Huu ni wokovu au Abracadabra ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dokii , Huu ni wokovu au Abracadabra ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Feb 5, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Last wik nikiwa naangalia kipindi cha wasanii, Star Tv nilimshuhudia msanii Dokii akithibitisha kua ameokoka.
  Leo nikiwa naangalia Tv hiyohiyo, katika matangazo ya moja kwa moja kuonesha sherehe za CCM nimemuona Dokii akiwa anatoa show CCM Kirumba, akiwa anakata MAUNO ya kufa mtu ! (si unajua msanii akatapo MIUNO mbele ya mkuu wa nchi ? ).
  MAUNO makali kumzidi Funza wa chooni, kuzidi mdudu Chambo !
  Jf membars upande wa dini mie si mtaalamu sana.
  Naomba kauli zenu muokokaji kama huyu Dokii na kwa MIUNO hii huyu kweli kaokoka ?
  Au kazi ya usanii na Mauno na anapokua anashiriki ibada huko kanisa analoabudu havina mahusiano?
  Naomba kutoa hoja .
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  jamani binti ana UNO huyo
  linaweza kukupaisha hadi kwenye paa
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hakuna kwenye biblia palipoandikwa kukata mauno ni dhambi. Halafu binti wa watu yupo kazini, sasa wewe unataka akale wapi?
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Bandama no ! Mfupa hauna ulimi, samahani Kongosho nakuamini kwa maboresho !
  ****-reshaji mzuri, aksente
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Kiuno hakiokoki jamani, kinachookoka ni nafsi,lol!
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata wewe, yeye hamjui mie nakula wapi !
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hakuna kuokoka hapa duniani,siku ya hukumu ya mungu ndipo utajua umeokoka na moto wa jehanamu.kuokoka siku hizi fashion
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hakuna mlokoz yoyote anaweza kuikatia ccm kiuno
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Anaganga njaa huyo dada ambaye kwanza sio raia nasikia....sasa lazima awe karibu ukute hata halipwi anajitolea tu!!!
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  mbele ya mkuu wa nchi? Hivi kuna nafasi za ubunge wa viti maalumu zilizoachwa wazi huko kwa magamba?
   
 11. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Vipi,ulibahatika kuona show yake..
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mimi nmemtamani. anayemtafuna anafidi kweli. mtoto hadi akainama mgongo mgongo, yani ile mwanza msoma singida dodoma anarusha kila mkoa. dah!
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  mtu aliyeokoka anatambulika kwa matendo na wala sio maneno
   
 14. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Florah Mbasha, Bahati Bukuku halafu yule tapeli, promota wa nyimbo feki za gospel, Alex Musama si ni kada?
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hapo ni katika harakati za kupeleka mkono ku kinywa.
   
 16. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakubwa wanafaidi aiseee mpaka napata wivu mtoto mtamu sana huyu.
   
Loading...