hali mbaya kwa kuwa pesa ya Mozambique inayoitwa meticais imeporomoka sana dhidi ya dolar ya Mmarekani ivyo kutoa bidhaa Tanzania mfano unga,nguo,vipodozi n,k na kuipeleka huko hazitaweza kulipa kwa kuwa mwisho wa siku utanunua dola ambayo ipo juu na kukumalizia hela yako uliyokusanya,wakat huo huo maduka yanapangishwa kwa dola 1500 mpaka 2000 kwa mwezi.Kwa ufupi Mozambique sahivi ni shida hasa kwa wajasiliamali wadogo wadogo.