Lakini Yamal anacheza kipindi ambacho wachezaji wengi sio bora kibinafsi...Yamal kapata opportunity mapema kutokana na makuzi yake la Masia...Gaucho hakupata tu bahati ya kuonwa mapema..ila Gaucho alikua shida

Tuache ushabiki body strength yake ipo chini ila sasa anavyovifanya bila nguvu sio vya nchi hii, ninachokiona hatari kwake amekuwa world class player akiwa mtoto isije kumchanganya
Mtu yoyote ataje wachezaji wake bora sasa hivi tuone list hapa(uzi ndani ya uzi)
NB Usitaje list ya watu wanaofanya mambo wakiwa wamejikaza kama wako chooni