Dogo katengeneza helicopter ya CHADEMA

Alivyo iwekea marangi rangi ya bendera ya CHADEMA imepoteza mvuto!!

 
mkuu, umecompare creativity yake na Rangi za chama(pia inaweza kuwa coincidence) umeona Rangi ndiyo habari, Mimi nilichokiona ni kafanya jambo kubwa ukilinganisha na umli wake, inawezekana ana vitu vya ziada alitamani aviongezee kwenye huo mfano wa chopa yake, lakini kutokana na mazingira kajikuta kaishia hapo, na akiendelea tu kakianza kutoa ile sauti ya kuunguruma mamlaka ya anga watampiga stop kabla haijapaa... watasema kanaatalisha maisha.
 
Dogo ameadhirika na kampeni kila kitu anadhani ni Lowassa sisi kwa mchakato wa kampeni ile elimu ya vyama vyote tumemuadhiri nayo sio tatizo lake ni tatizo la kuruhusiwa kampeni.

Anaakili Watanzania tumuendeleze uyatima wake ameona haumzuii kufikiri
 

Umli=umri
atalisha=hatarisha.
 
huyo dogo anamaanisha huenda chadema siku ikashika nafasi za juu kabisa za uongozi.
na wale wanao wadarau leo ipo siku watakuja kuwaheshimu.
 
Huyo Dogo kama angekuwa amezaliwa nchi za wenye akili zao saa hizi angekuwa anagombaniwa kusomeshwa,ila kwa kuwa amezaliwa kwenye migomba ndio basi tena

Tena anaweza kutafutwa mwalimu wake ili aisaidie polisi kujua ni wapi mtoto alikopata hilo wazo la kuitengeza helcopter ya CHADEMA. Mwalimu anaweza kushitakiwa kwa kosa la uchochezi na kujenga chuki kwa mtoto dhidi ya serikali tukufu ya Johnwalker Pombe Mbaya.

Angeimba wimbo wa kukisifia Chui, Chatu na Mafisi wangemsaidia hadi kurekodi single.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…