Mambo mengine yanauma hata ku imagine....
ha ha haa
umemjibu mchambuzi vile anavyotaka....
now atakuuliza,why wewe yakuumize????/
Boss fanya lolote unalofanya but kama unabadilisha wanaume mara kwa mara...
Unatembea na vijana wadogo kwako (yaani una u-Sugar mummy) Haipendezi
kamwe watoto wajue wanaume wako... hata kama umri wa wanaokutoa ni sawa
as long as unabadilisha kama nguo... Keep the kids out of it ... not matter the kid (s)
yupo two years... or twenty.... Haipendezi...
umeona ulivyoandika hisia zako?
hakuna aliposema mama anabadilisha mara kwa mara....lol
Boss fanya lolote unalofanya but kama unabadilisha wanaume mara kwa mara...
Unatembea na vijana wadogo kwako (yaani una u-Sugar mummy) Haipendezi
kamwe watoto wajue wanaume wako... hata kama umri wa wanaokutoa ni sawa
as long as unabadilisha kama nguo... Keep the kids out of it ... not matter the kid (s)
yupo two years... or twenty.... Haipendezi...
Huyo dada yako tu akiwa anatembea na vijana wadogo kuliko umri wake roho inauma na inakera sana, leo sembese mama mzazi!
Well, itabidi nikae nae chini and we'll need to talk (very serious discussion)Hebu tuchukulie kwamba, mzazi wako wa kike yaani mama yako anafanya mambo ambayo unaamini anakudhalilisha. Hebu tuchukulie kwamba, umejua au umepata taarifa kwamba, mama yako anatembea na kijana au vijana wadogo sana wa umri wako au hata wadogo kuliko wewe. Ningependa kujua ungefanyaje?
Huyo dada yako tu akiwa anatembea na vijana wadogo kuliko umri wake roho inauma na inakera sana, leo sembese mama mzazi!
Well, itabidi nikae nae chini and we'll need to talk (very serious discussion)
Son nimeambiwa kua you know of my lover who is your age na umetangaza
you have a serious discussion with me... hebu ongea Son... What is the matter??
God forbid!!
Ndio mwanzo wa kuingia mzozo na mama mzazi hadi kuishia kuachiwa laana
inategemea
1.baba yupo wapi?
2.mama naishi nae nyumba moja?
3.huyo dogo ni nani?
4.jamii iliyutuzunguka ikoje?
5.............
Son nimeambiwa kua you know of my lover who is your age na umetangaza
you have a serious discussion with me... hebu ongea Son... What is the matter??
The Boss, maswali yako mbona yanajibika tu. Tuchukulie baba hayupo, yawezekana akawa amefariki au walitalikiana au alizaa tu na bwana.
Lengo langu ni kutaka kujua kitakachoenda kichwani mwa mtoto baada ya kupata taararifa hizo au kushuhudia.
Hebu niulize tena, Hivi mwili wamama unahusiana vipi na mtoto? mama si anayo matamanio yake? ina maana hapaswi kujiridhisha atakavyo bali hadi mtoto aamue yupi wa kutembea na mama?
Mimi naamini mama ni binadamu kamili ambaye na yeye anayo mamlaka na mwili wake hata kama akitembea na mwenda wazimu, si ndio mapenzi yake? sasa mimi kama mtoto nitahusikaje kwenye maya mama?
Kwa kuwa jamii imetufundisha kuwa jambo hilo ni baya basi na sisi tunalitafsiri kwa mujibu wa jamii na sio kama sisi.
Tukumbuke kuwa mama naye ni binadamu anayop matamanio yake........ Huo ni mtazamo wangu tu
asha d
umenikumbusha kuna msanii wa bongofleva maarufu
alisikia mama yake katembea na jamaa hivi
akamuuliza mbele ya watu nanukuu
mama ndo nini sasa unamegwamegwa ovyo ovyo.....
na hiyo kumegwa nimeweka mimi,yeye alitumia neno lenyewe hasaa