Dogo anatembea na mama!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
Hebu tuchukulie kwamba, mzazi wako wa kike yaani mama yako anafanya mambo ambayo unaamini anakudhalilisha. Hebu tuchukulie kwamba, umejua au umepata taarifa kwamba, mama yako anatembea na kijana au vijana wadogo sana wa umri wako au hata wadogo kuliko wewe. Ningependa kujua ungefanyaje?
 
inategemea

1.baba yupo wapi?
2.mama naishi nae nyumba moja?
3.huyo dogo ni nani?
4.jamii iliyutuzunguka ikoje?
5.............
 
Mambo mengine yanauma hata ku imagine....

@ Mtambuzi

Hizi topics unaleta na Avatar you have chosen... Perfectoo...
 
ha ha haa
umemjibu mchambuzi vile anavyotaka....

now atakuuliza,why wewe yakuumize????/

Boss fanya lolote unalofanya but kama unabadilisha wanaume mara kwa mara...

Unatembea na vijana wadogo kwako (yaani una u-Sugar mummy) Haipendezi

kamwe watoto wajue wanaume wako... hata kama umri wa wanaokutoa ni sawa

as long as unabadilisha kama nguo... Keep the kids out of it ... not matter the kid (s)

yupo two years... or twenty.... Haipendezi...
 
umeona ulivyoandika hisia zako?
hakuna aliposema mama anabadilisha mara kwa mara....lol
 
Jamani Boss nimeongea out of assumption... alafu leo naona i am not rational....

Hata hivo niongezee kua nimeongezea...lol
 
Boss fanya lolote unalofanya but kama unabadilisha wanaume mara kwa mara...

Unatembea na vijana wadogo kwako (yaani una u-Sugar mummy) Haipendezi

kamwe watoto wajue wanaume wako... hata kama umri wa wanaokutoa ni sawa

as long as unabadilisha kama nguo... Keep the kids out of it ... not matter the kid (s)

yupo two years... or twenty.... Haipendezi...

Huyo dada yako tu akiwa anatembea na vijana wadogo kuliko umri wake roho inauma na inakera sana, leo sembese mama mzazi!
 
masaki kuna vitu tunachanganya hapa....
ni vijana wadogo au ana mtu ambae ni mdogo kiumri??

halafu je mama ni single???????

ndo maana mimi nimeuliza maswali hapo juu

otherwise kila mtu ana haki ya kutafuta faraja na kutokuishi a lonely life
 
Hebu tuchukulie kwamba, mzazi wako wa kike yaani mama yako anafanya mambo ambayo unaamini anakudhalilisha. Hebu tuchukulie kwamba, umejua au umepata taarifa kwamba, mama yako anatembea na kijana au vijana wadogo sana wa umri wako au hata wadogo kuliko wewe. Ningependa kujua ungefanyaje?
Well, itabidi nikae nae chini and we'll need to talk (very serious discussion)
 
Huyo dada yako tu akiwa anatembea na vijana wadogo kuliko umri wake roho inauma na inakera sana, leo sembese mama mzazi!

Hapo sasa... ila kitu kimoja ninachoamini ni kua mmama mwenye tabia hio anakua alishaanza siku nyingi hivo in most cases watoto hukua huku wakijua tabia hio ya mamao...
 
Well, itabidi nikae nae chini and we'll need to talk (very serious discussion)

Son nimeambiwa kua you know of my lover who is your age na umetangaza

you have a serious discussion with me... hebu ongea Son... What is the matter??
 
God forbid!!
Ndio mwanzo wa kuingia mzozo na mama mzazi hadi kuishia kuachiwa laana
 
inategemea

1.baba yupo wapi?
2.mama naishi nae nyumba moja?
3.huyo dogo ni nani?
4.jamii iliyutuzunguka ikoje?
5.............

The Boss, maswali yako mbona yanajibika tu. Tuchukulie baba hayupo, yawezekana akawa amefariki au walitalikiana au alizaa tu na bwana.
Lengo langu ni kutaka kujua kitakachoenda kichwani mwa mtoto baada ya kupata taararifa hizo au kushuhudia.

Hebu niulize tena, Hivi mwili wamama unahusiana vipi na mtoto? mama si anayo matamanio yake? ina maana hapaswi kujiridhisha atakavyo bali hadi mtoto aamue yupi wa kutembea na mama?
Mimi naamini mama ni binadamu kamili ambaye na yeye anayo mamlaka na mwili wake hata kama akitembea na mwenda wazimu, si ndio mapenzi yake? sasa mimi kama mtoto nitahusikaje kwenye maya mama?
Kwa kuwa jamii imetufundisha kuwa jambo hilo ni baya basi na sisi tunalitafsiri kwa mujibu wa jamii na sio kama sisi.

Tukumbuke kuwa mama naye ni binadamu anayop matamanio yake........ Huo ni mtazamo wangu tu
 
kwa sababu mama mwenyewe tayari atkuwa ameshaonyeesha dalili zautovu wa nidhamu dawa ni kumropokea kama ni noma na iwe noma kuliko udhalilishwaji huo
assume vijana wenzio marafiki zako watakuchukuliaje mtaani?

nb: nitafnya hivyo nikiwa na ushahidi unaoeleweka vinginevyo naweza kubebeshwa mzigo wa laana kwa kisingizio cha kumsingizia!!!!!!!!!!!
 
Son nimeambiwa kua you know of my lover who is your age na umetangaza

you have a serious discussion with me... hebu ongea Son... What is the matter??

asha d
umenikumbusha kuna msanii wa bongofleva maarufu
alisikia mama yake katembea na jamaa hivi

akamuuliza mbele ya watu nanukuu

mama ndo nini sasa unamegwamegwa ovyo ovyo.....

na hiyo kumegwa nimeweka mimi,yeye alitumia neno lenyewe hasaa
 
The Boss, maswali yako mbona yanajibika tu. Tuchukulie baba hayupo, yawezekana akawa amefariki au walitalikiana au alizaa tu na bwana.
Lengo langu ni kutaka kujua kitakachoenda kichwani mwa mtoto baada ya kupata taararifa hizo au kushuhudia.

Hebu niulize tena, Hivi mwili wamama unahusiana vipi na mtoto? mama si anayo matamanio yake? ina maana hapaswi kujiridhisha atakavyo bali hadi mtoto aamue yupi wa kutembea na mama?
Mimi naamini mama ni binadamu kamili ambaye na yeye anayo mamlaka na mwili wake hata kama akitembea na mwenda wazimu, si ndio mapenzi yake? sasa mimi kama mtoto nitahusikaje kwenye maya mama?
Kwa kuwa jamii imetufundisha kuwa jambo hilo ni baya basi na sisi tunalitafsiri kwa mujibu wa jamii na sio kama sisi.

Tukumbuke kuwa mama naye ni binadamu anayop matamanio yake........ Huo ni mtazamo wangu tu

exactly
ndo maana mimi nimeuliza hayo maswali.....

kama mama ni single na anaishi mwenyewe

sioni tatizo....ili mradi anajua nini anafanya,but tatizo
ni je ana mpenzi mmoja au ndo kila kijana anapita????/
 
asha d
umenikumbusha kuna msanii wa bongofleva maarufu
alisikia mama yake katembea na jamaa hivi

akamuuliza mbele ya watu nanukuu

mama ndo nini sasa unamegwamegwa ovyo ovyo.....

na hiyo kumegwa nimeweka mimi,yeye alitumia neno lenyewe hasaa

aaisee... Hakutumia busara (thou yawezekana alichanganikiwa roho kumuuma....)
alifanya hata wasio jua wajue ukweli wa mambo... Hilo neno kumegwa lenyewe baya...
i can not imagine hilo lingine....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom