Dogo ana 26 four na ana credit 3 hkl je anaweza chaguliwa serikari?

Kama ni wa kiume, asitegemee saaana. Sifa anazo ila wenye sifa zaidi yake watapewa kipaumbele kwanza, nafasi zikiisha, atakosa, zikibaki atapata lakini uhakika wa kukosa ni mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una uwezo mtafutie course zingine akafanye

Ukimpeleka Advance level kwa Matokeo hayo Maajabu ni kufaulu sio kufeli
 
Back
Top Bottom