Dogo ampiga fix babake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dogo ampiga fix babake

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MDAU JR, Jul 16, 2012.

 1. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ..Dogo mmoja alikuwa anapga story na dingi yake mara demu wake akatokea!...dah! Ila Dingi mwenyewe alikuwa mtata sana.... bc dogo akaamua kutumia akili ya kuzaliwa hivyo...maongez na dem wake yakawa hivi;
  Dogo:Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father dsn't know?!
  Dem:Ndio na kile cha where should I wait 4 u?
  Dogo:Hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree!
  Dem:Sawa ucsahau kile cha dont be late I gv u 5 minutes.
  Dingi kusikia hivyo akampa mwanae elfu10 ili aongeze bidii ya kusoma. GUD DAY.
   
 2. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 833
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 80
  Ha ha ha ha haaaaa. Imetulia
   
 3. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Marudio haya ndani ya jamvi.
   
 4. piper

  piper JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ha haha kwi kwi kwi,mbavu zangu
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Asante kwa remnisce
   
 6. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh mwanangu umenikumbusa mbaali kinoma. Mwanzoni mwa miaka ya tisini. RTD walikuwa na kipindi kinaitwa 'Mirindimo' wakati huo waendeshaji wa kipindi wakiwa mwanadada Lone Rumisho(sina hakika na spelling za hili jina) na Abubakar Msulwa(if I remember correctly). It was a good one then.....
   
Loading...