Dogo afumaniwa na mke wa kigogo Mwanza

Dogo afumaniwa na mke wa kigogo Mwanza

nzara

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Fumanizi mwanza kitangiri dogo aaihidi kulipa fidia chini ya kiongozi wa mtaa chec tukio!!&

=============

MCHEPUKO!! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live' gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita.

Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja maarufu iliyoko mitaa ya Kitangiri baada ya kigogo huyo kupewa ‘ubuyu' kwamba anaibiwa mali yake ndipo akaandaa mtego na kufanikiwa kumnasa kijana huyo alipokutwa kwenye chumba namba 4 cha gesti hiyo akijiandaa kuserebuka.

Kigogo alipopewa mchoro huo na wambea, siku ya tukio alimshtua Mwenyekiti wa Mtaa wa Kitangiri, Maginga Patroba, wakatia timu katika gesti hiyo, wakawakuta wachepukaji hao wakiwa kitandani huku Marck akiwa tayari ameshachojoa nguo, Mwanaidi akiwa bado," kilisema chanzo chetu na kuongeza.

Kigogo aliamuru wahudumu wagonge mlango ili wahusika wasishtuke, walipofungua ndipo mwenyekiti sabamba na kigogo huyo wakazama ndani."
Mwanaidi alipoona flashi za kamera ya mapaparazi zikiwamulika, alianza kuangua kilio mbele ya mumewe kumuomba awasamehe lakini kigogo huyo alimtaka kijana huyo amlipe fidia ya shilingi milioni moja kama adhabu ya kutembea na mke wake.

Kutokana na hali ya uchumi ya kijana huyo kutokuwa nzuri, hakuweza kulipa kiasi hicho cha pesa badala yake aliomba kupewa muda wa kulipa pesa hizo.

attachment.php
 

Attachments

  • 1412184776024.jpg
    1412184776024.jpg
    37.9 KB · Views: 2,505
Mke gani wa Kigogo??Kama Jamaa alikuwa hapigi show vizuri ulitegemea nini?
 
Aaah hizo fidia huyo huyo shuga mammy wake atamlipia
Jamani hii aibu ya nini
Tamaa mbaya
 
Dogo Mungu ampe nini? Au manyaunyau ampe majini? Yani amekula mke wa kigogo!
 
Mchepuko nomaa atakiwa kulipa milion la sivyo aliwe tigo na mwenye mke!! picha zinagoma kuzpost!!
 
Huyo kigogo kajiaibisha! Ningekua mm wala dogo nisinge mbughudhi make nikujiaibisha 2!! labda angekua ni m2 ambae hata ukimshika anashikika lakini huyo dah!!
 
Mke wa mtu sumu!! siku nyingine ataliwa na yeye.
 
Wanaume wachache wengi wanawake na mashoga big up Dogo kama hawezi kazi kwann as I said we? ?
 
Sasa fidia gani atalipa, wakati tayari ameshakula mzigo?
 
huyo ni Kigogo wa jeiefu ama?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom