DOES TIME EXIST?!

DOES TIME EXIST?!

Ni hesabu zimewekwa za kuhesabu umri wako,majira nk... kutokana na utashi wa binadamu.....nothing more....ni kama vile tulivyokubaliana....mnyama mbuzi tumuite mbuzi na simba tumuite simba....tungeweza kukubaliana pia simba tumuite mbuzi na mbuzi tumuite simba...tungezoea hivyo na mambo yangekuwa kawaida.....wazee wa philosophy wataelewa sana hapa....
Kumbe majina ya wanyama yamepatikana hivyo ?
 
Back
Top Bottom