Does the 35-year plan make sense to you? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does the 35-year plan make sense to you?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Entrepreneur, Jan 21, 2012.

 1. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Do you realize how many mistakes you have made chasing the Tanzanian dream (Maisha Bora) that the society /government drums into your head through 7 years of primary education, 4 years of secondary school, 2 years of high school and 3 years of college? This Plan made it abundantly clear: Go to school, get a job, save 10 percent, be miserly, and, someday, you can retire rich, albeit, old, and give up on those grandiose ideas of freedom (you will always work 5 days a week just to get 2 days off if you are luck, but the smart one work when it's needed)

  Kwa mujibu wa 35-year plan, tunatumia takribani miaka 16 hadi 18 kwenye elimu yetu na, tunabakiza miaka 35 tu ya kufanya kazi tukiwa na nguvu (kama utakuwa na bahati ya kupata kazi mara utakapofikisha miaka 25 na kustaafu ukiwa na miaka 60, nasema bahati kwani tunaambiwa wastani wa kuishi kwa mtanzania wa kawaida ni miaka 43)

  Kabla sijaiweka Diary ya safari yangu, kielimu na kibiashara kwenye Jamvi hili, naomba niulize maswali machache? Je elimu yetu inatuandaa kukabiliana na changamoto za maisha? Je soko la ajira lilivyo Tanzania linaruhusu wanafunzi (wanachuo) kufanya kazi wakati wanasoma? Je elimu tunayoipata inatusaidia vipi kama wafanyabiashara? We have to do something people

  Karibuni
  Miaka 7-14 (Elimu ya Msingi)
  So, early in life, I gave up on this idea of 35 year Plan. Nikiwa mtoto mwenye miaka 10 niliamua kuanza biashara ndogondogo (selling sugary delights, ice cream na karanga) huku nikijihusisha na ufugaji wa njiwa, sungura , kuku na mbuzi. The local mini supermarket was my targeted destination - the only things that motivated me out of the house those days. Luck me I made it after completing standard seven. When I had my own registered business, it was a great accomplishment for me. I finally was able to own something I was proud of, something which gave us our daily bread.

  Nilichojifunza Shule

  Kimsingi hakukuwa na kikubwa nilichojifunza kutoka shuleni ambacho kilinisaidia kwenye biashara yangu kwani zaidi ya toa, jumlisha, zidisha, gawanya, mambo mengi nilijifunza kwa baba mzazi nilipokuwa mdogo kwani naye aliyekuwa mjasiriamali (my first role model). Shuleni walishindwa kutufundisha hata namna ya kumhandle customer, (kitu ambacho kingekuwa na positive demonstrational effects) walishindwa kutufundisha kwani mwalimu mwenyewe akiingia darasani amenuna na mzigo wa fimbo ikiambatana na mikwara mingi (sijui wanategemea wanafunzi wajifunze nini kwenye haya matendo yao.

  Miaka 15-18 (Elimu ya Sekondari)
  Sasa changamoto ilikuja baada ya kufaulu mtihani kuingia kidato cha kwanza, kwani ilitakiwa niiache biashara kwenye mikono ya watu wengine. Starting a business, growing it, and then figuring out how to make it run without a lot of day-to-day supervision is a real challenge. By the time I completed my secondary education the business was deadly broke. Niliamua kuuza vyote vilivyosalia na kutafuta mtu wa kumuachia ile fremu ya biashara na kutengeneza commission yangu. I plotted the flavor of my next indulgence and headed toward Mining Industry. Nilipofika Mererani nikafanya utafiti na matokeo yake yakawa kureplicate the same business which I did back in the Days,

  Nilichojifunza Shule

  Pamoja na kwamba nilikuwa m wanafunzi pekee aliyefaulu kwa daraja la juu, Katika yote niliyojifunza Sekondari, sikuona kitu kikubwa kilichoniandaa kukabiliana na changamoto za maisha zilizokuwa mbele yangu, kwani sehemu kubwa ya elimu yote niliyoipata haikuniandaa kupambana na mazingira halisi yaliyokuwa yananikabili. Kwa mfano katika somo la kemia nilitegemea tufundishwe namna ya kuchangaya kemikali ili kutengeneza sabuni kwani mahitaji na soko lilikuwepo lakini sijawahi kuona kitu kinachoendana na hicho kabisa (kwani si lazima tuwe na somo la ujasiriamali kama somo, ingewezekana kumainstream ujasiriamali kwenye masomo mengine au katika uendeshaji wa shule
  .

  Miaka 19-21 (Elimu ya High School)

  Changamoto tena ilikuja baada ya kufaulu mtihani kuingia kidato cha tano, kwani ilitakiwa niiache biashara kwenye mikono ya watu wengine.
  Nisiwachoshe wanabodi. Itaendelea


  Kwa leo nihitimishe kwa kusema, I'm not yet rich (in the definition of others) but I'm also not working 5 days a week just to get 2 days off. Kwangu mimi Wealth is not only measured in cash and assets, but the free time I have and the relationships I build with others,
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuhusuelimu yetu kama inatuandaa au la,

  -Elimu yetu kwa upande mmoja inatuandaa na upende mwingine ndo kamahivyo.

  -Mfano:
  -Nakumbuka shule ya msingi kulikuwa na masomo ya kilimo, na tulikuwa tukilimabusatani za shule.
  -kulikuwa na sanaa, hapa wanafunzi walikuwa wakitengeneza vitu mbalimbali nakuleta shule
  -Na kama sikosei kuna shule za secondary zinafundisha food and nutrition, nawanafunzi hufundishwa kupika, je ni mwanafunzi gani alitoka pale akafunguakibanda cha mama lishe?

  MATATIZOYA UJASIRIAMALI WA TANZANIAYANA HISTORIA NDEFU SANA NA KUNA MAKUNDI MENGI SANA YANAHUSIKA KWA HILISO SI SWALA LA SHULE TU.

  HAYAMAKUNDI YANAHUSIKA

  1.WAZAZI

  2.WALIMU MASHULENI NA VYUONI

  3.SERIKALI

  5.MAKUNDI/MARAFIKI/MAJIRANI

  6.HISTORIA YA UCHUMU WETU/ UJAMAA

  2. KUHUSU SWALI LA PILI,

  1.Mimi nazani hata huko kwa walami si dhani kama kuna mwanafunzi anaye ajiriwahuku bado akiwa anasoma, ilaila kuna kitu kama tempo,

  2. KUwezekana inawezekana ila wewemwanafunzi utaenda kufanya kazi ipi? na mara nyingi hata ulaya kazi ambazowanafunzi wanafanya wakati wanasoma ni zile ambazo hazitumii skill kubwa sana,mfano kazi zinazo tumia nguvu kiasi, kule wako makini sana hawawezi mwachia mwanafunzi aendeshemitambo ya kiwanda akihalibu hapo?

  JE KUNA MWANAFUNZI YUKO TIYALI KWAKAZI HATA YA KUFYEKA? JE KULIMA?


  3. SWALI LA 3.

  - ELIMU TUNAYO IPATA KWA KIASI FULANIINASAIDIA SANATATIZO ILKO KWETU SISI.

  1. Vyuoni wanafundisha masomo mengisana na mazuri sana
  - SUA - KUNA KOZI KIBAO ZA KILIMO,UFUGAJI, NA KAZALIKA
  - KUNA KOZ ZA UJASIRIAMALI

  TATIZO NI KWAMBA TULIVYO ANDALIWATANGIA TUKIWA WADOGO NI KWAMBA TUNASOMA ILI TUAJIRIWE NA HII BADO IKO VICHWANIMWA WANAFUNZI WENGI SANA

  - VYUO KARIBIA VYOTE VINATOA KOZI ZAKUJIAJIRI, NI KOZI CHACHE SANA AMBAZO MTU HAWEZI KUJIAJIRI NAZO.
  - KOZI ZA KUJIAJIRI
  1. ACCOUNTING
  2. LAW
  3. BUSINESS ADMNSTRATION
  4. HUMAN RESOURCES MANAGMANET
  5. IT
  6. EDUCATION
  HIZO NI CHACHE TU KATI YA NYINGI, JENI WANGAPI WAMEJIAAJIRI? AU NI WIMBO ULEULE WA MITAJI?

  MWISHO:

  1. Je tunaenda vyuoni tukiwa na spirti yaujasiriamali ili tukaongeze elimu? au tunaenda na spirit ya kuajiriwa na thenitunaaza kukumbana na kozi za Entreprenership?

  1. Entrepreneor spirit ni kitu ambachokiko moyoni mwa mtu na ni vigumu sanakulzaimisha mtu kuwa mjasiriamli.

  2. Hizi kozi zinazo tolewa na tasisimbalimbali, vyuo, NGOs na kazalika za kuhusu ujasiriamli ni danganya totowakuu, hapo ni pesa zinaliwa tu,
  3. Swala la entreprenerio spirthalihitaji semina ya ujasiriamali,

  INDIA WANA WATU WENGI SANA WENYEENTRPRENERSHIP SPIRTI SI KWA KUFUNDISHWA BALI NI KUTOKA MOYONI MWAO,

  - HAPA DUNIANI HAKUNA MAHALI AMBAPOENTREPRERSHI SPIRIT INAFUNDISHWA, ILA KUNA KOZI ZA KUMUONGEZEA HUYO MJASIRIMALIUJUZI NA MALIFA ZAIDI

  - Ulisha ona wapi wafanyakazi wanaosubiria mshahara wa mwisho wa mwezi wanafundisha watu jinsi ya kujiajiri? kwanini wasijiajiri wao kwanza ndo theni waje kufundisha watu jinsi ya kujiajir?

  HILI SWALA LA UJASIRIAMALI LIKO MOYONIMWA MTU NA LINAJENGWA, SI LA KULAZIMISHA KWA SEMINA NA MAKONGAMANO,

  MIMI NIMETOAGA SEMINA NYINGI SANA ZAWATU KUJIAJIRI BUT HAKUNA ALIYE THUBUTU HATA MMOJA ZAIDI YA KUWAPA HANDOUT NAWANAENDA KUFUNGIA MAKABATINI

   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ow ow! This is good! Watu wengi tunapenda kuwa wajasiamali lakini hatupendi kufanya ujasiriamali. Hi inachangiwa na sabb kuwa, mazingr tunayoish yanatufanya tuwe hvy. Fikiria unatamani kufany ujasrmal, unapomaliza elim yako, wazazi na wadog zako wanasema afadhl umemaliza utsaidie, unafanya kazi kidog kwanza uweze kupata kamtaji, wakati huo kuwapiga jeki wanaokufuat, ukfk wakati wa kuanza ujsiriamal' inakuwa shida kubwa kwani vijan wako f3, mwingn f2 na mwingn f1, wote unawalipia ada. Pig picha unakt mrija kwasb lzm ujiweke vizur kiuchumi kwenye biashara yako, na ile salari uliyokuwa unawalipia karo imekatik, nakuambia utalaniwa milele! Hi ni changamoto ambayo tunapaswa kuijadili tupeane mkakati kuwin maisha katikati ya makandokando mengi.
   
 4. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ow ow! This is good! Watu wengi tunapenda kuwa wajasiamali lakini hatupendi kufanya ujasiriamali. Hi inachangiwa na sabb nyingi ikiwemo, mazingr tunayoish yanatufanya tuwe hvy. Fikiria unatamani kufany ujasrmal, unapomaliza elim yako, wazazi na wadog zako wanasema afadhl umemaliza utsaidie, unafanya kazi kidog kwanza uweze kupata kamtaji, wakati huo kuwapiga jeki wanaokufuat, ukfk wakati wa kuanza ujsiriamal' inakuwa shida kubwa kwani vijan wako f3, mwingn f2 na mwingn f1, wote unawalipia ada. Pig picha unakt mrija kwasb lzm ujiweke vizur kiuchumi kwenye biashara yako, na ile salari uliyokuwa unawalipia karo imekatik, nakuambia utalaniwa milele! Hi ni changamoto ambayo tunapaswa kuijadili tupeane mkakati kuwin maisha katikati ya makandokando mengi.
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa but ni jukumu lakokupambana nalo na kuhakikisha unawin, Hizi extended familly zetu zina faida namadhara yake,
  Unapo anza biashara ni lazima pia uwaandae ndugu na jamaa na marafikikukusaidia katika biashara yako na si kukusaidia kula tu,

  Tatizo la watanzania wengi huwa tunapenda kusifiwa sana kwamba tunafanyabiashara na kuwasaidia watu, mwisho wa siku biashara inakufa,
  - Ni lazima ndugu zako wafahamu haya.

  1. Umuhimu wa hiyo biashara
  2. Mchango wao katika kuhakikisha inakua
  Unatakiwa uwafundishe ndugu zako wote kwamba biashara yako ni changa sana so jutawezakuwasaidia kwa sasa ila biashara itakapo simama na kutengeneza faida utawezakuwa sapoti.
  Usipende kusaidia huku unanung'unika, tell them the truth,

   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakubwa nyie mko juu sana jamani mada zenu zote humu napeleka kwenye my blog,naomba muitembelee ili mnipe ujanja zaidi wa kuiboresha,tuzidi kuelimisha umma wetu wa Tanzania uliolala bado.
  Gonga hapa
  GSHAYO
   
Loading...