Kaka hawa watu wasikupoteze na kukwambia nunua yoyote, kwa vile ulikuwa hata hujui kama inafanya kazi au la, ina maana kwa kiwango chako kimbilia kama ulivyoambiwa awali kwenye factory unlocked. Locked zinafanya kazi lakini uwe na muda wa kupoteza ku-unlock na kujailbreak at least mara 5 kwa mwaka kila inapotoka firmware mpya, wako ambao kazi hiyo kwao ni enjoyment lakini amini usiamini wako amabao kwao ni adhabu. La sivyo utabaki na firmware ya zamani. Lakini zqidi kama una uwezo na subira ningekushauri usubiri iPhone 5 ambayo imebaki kama miezi miwili hivi itoke.