Does education matters kwenye mapenzi?

Does education matters kwenye mapenzi?

Gud hearted

Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
13
Reaction score
2
Does education matter kwenye mapenzi? if it is yes, what are the reasons behind and if it does not matter, what are the reasons too? mimi kwa upande wangu naona elimu inamatter sana as mfano mwanaume ukiwa umemzid elimu anakuwa inferior and pia insecure...so i prefer aliyenizid au tuwe equal
 
Does education matters kwenye mapenzi? if it is yes, what are the reasons behind and if it does not matter, what are the reasons too? mimi kwa upande wangu naona elimu inamatter sana as mfano mwanaume ukiwa umemzid elimu anakuwa inferior and pia insecure...so i prefer aliyenizid au tuwe equal
Mkuu ina matter sana unakula demu wowote unayemtaka kiulaini si wanashoboka na elimu yako au? Opinion yngu hiyo
 
Kama level ya elimu ya mwanaume ni kubwa kuliko mwanamke sio shida..Ila kama level ya mwanmke ni kubwa kuliko mwanaume hapo kuna utata mara nyingi..Ila inategemeana ntu na ntu..sumtyz education is nt a big deal..Tabia za wahusika ndo zina matters..if you two can handle your differences basi sio kesi
 
sure na mm hichi ndicho nachofikiriaga linapokuja swala hili la kuzidiana elimu
 
Sure it really matters coz of hali ya maisha you can't just marry someone hajui hata pka vtumbua au kufuma shuka... Elimu cyo lazma ya darasani bt at least awe na hata ya kumfanya aingze kipato kwa family
 
And to know where "tigo" is located on a female's body kayaman
 
Last edited by a moderator:
Uoga wa maisha tu,kwani manzi kukuzidi elimu ndio nini?tena elimu yenyewe hii ya bongo ambayo Phd holder hana kitu kichwani.
 
Me nnachoona ni jinsi gani mtu anajishughulisha na maisha hata kama hajasoma but mtu yupo tu wa kazi gani.
 
Mke wang mm ni degree tu....yeye kafanya masters nikamuachia naona ananiingia tena anataka arud tena shule....akija na Dr nampiga chini
 
Kama level ya elimu ya mwanaume ni kubwa kuliko mwanamke sio shida..Ila kama level ya mwanmke ni kubwa kuliko mwanaume hapo kuna utata mara nyingi..Ila inategemeana ntu na ntu..sumtyz education is nt a big deal..Tabia za wahusika ndo zina matters..if you two can handle your differences basi sio kesi

Sometimes it matters sometimes it doesn't. Imagine ana masters me nina degree lakini nina mpunga mrefu kuliko yeye. Kwangu mimi how big ur paycheck is that's what matters.
 
wengi wanajidanganya humu wanasahau kuwa mchawi ni pesa ukiwa nazo utaheshimika na kila mtu,wengine tumesoma shule kwakuwa tulikuwa tunafaulu,HITIMISHO ili uheshimiwe na mwanamke hadi ukweni kuwa na pesa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom