Unapima ili iweje?Kuna kifaa kinaitwa X counter haina haja ya kumuuliza kichomeke kwenye uke utapata idadi .
Kinauzwa kwa mushk Arusha mkabala na NMB market.
Naomba mtoa mada ajibu hapa kwa kweli.Unapima ili iweje?
Seriously!!! Ukikuta seal imetolewa si unajua tu kua kuna alio/walio kutangulia!!!! Idadi ya nini sasa!Naomba mtoa mada ajibu hapa kwa kweli.
Yaani mimi huwa na underrate ili nikikuta hoolaah nisiwe disappointed sana.Seriously!!! Ukikuta seal imetolewa si unajua tu kua kuna alio/walio kutangulia!!!! Idadi ya nini sasa!
Does it make her less of a wife?It matters, kuna devaluation hapo. Imagine uko na mke ambae in her past alilala na 30+ guys.
Huo ni ujinga, kipimo ni moyo tuUnapima ili iweje?
Kujua idadi ni ukuta wa kufikia malengoSeriously!!! Ukikuta seal imetolewa si unajua tu kua kuna alio/walio kutangulia!!!! Idadi ya nini sasa!
Ata pata mume Wa kufanana naeIt matters asee
Kuna binamu yangu flan mpaka sasa nawajua mashemeji rasmi walio pita kama 7 hivi sasa huwa najiuliza je wale niso wajua inakuwaje!!?
Mtu mwenyewe ndio ana 26, sasa lets say kaolewa na miaka 29.
Kuna shida happ
Hili litapingwa na wanawake kwa mikono na miguu yote. Kama nawaona vile wamavyokuja hapa kwa kasi kukuuliza ya nini sasa?Kuna kifaa kinaitwa X counter haina haja ya kumuuliza kichomeke kwenye uke wake utapata idadi .
Kinauzwa kwa mushk Arusha mkabala na NMB market.
Does it make her less of a wife?
We unadhani toka uchangudoa umeanza hadi leo wale wauzaji hawajaolewa? Wengi tunaweza kua products za hao wanawake bila kujua lakini wapo wamedumu kwenye ndoa hadi leo.
Sasa ukitaka kumfananisha mwanaume na mwana mke kwenye kila kitu ndio utachemka hapo.Ata pata mume Wa kufanana nae
Mbona wanaume hamujioni kwenye hayo maswala
HahahaHili litapingwa na wanawake kwa mikono na miguu yote. Kama nawaona vile wamavyokuja hapa kwa kasi kukuuliza ya nini sasa?
There is no needWhat are you trying to say?
It's constant that it makes her less of a wife, unaweza kuwa na a someone mwenye a body count of 2 na bado awe hajatulia.
The topic here is the fact you know that a certain number of guys have slept with her.