Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,131 Reaction score 6,368 Oct 21, 2023 #1 Kizungu cha kibongo , etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachment Habari zenu wana jamii forums?
Kizungu cha kibongo , etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachment Habari zenu wana jamii forums?
Moo Click JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,495 Reaction score 3,253 Oct 21, 2023 #2 Lexus SUV said: Kizungu cha kibongo , etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachmentView attachment 2788302 Habari zenu wana jamii forums ???? Click to expand... Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi.. Anyways sema shida yako ni nini hapo labda?
Lexus SUV said: Kizungu cha kibongo , etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachmentView attachment 2788302 Habari zenu wana jamii forums ???? Click to expand... Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi.. Anyways sema shida yako ni nini hapo labda?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,656 Oct 21, 2023 #3 Lexus SUV said: Kizungu cha kibongo , etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachmentView attachment 2788302 Habari zenu wana jamii forums ???? Click to expand... Sijakusoma au ulitaka kujua hizo code za nchi gani? If yes ingia google utaona nchi husika
Lexus SUV said: Kizungu cha kibongo , etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachmentView attachment 2788302 Habari zenu wana jamii forums ???? Click to expand... Sijakusoma au ulitaka kujua hizo code za nchi gani? If yes ingia google utaona nchi husika
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Oct 21, 2023 #4 Mi nimezoea calls kutoka kwa mtogole ivo hayo sijui kwa kweli
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,131 Reaction score 6,368 Oct 21, 2023 Thread starter #5 Moo Click said: Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi.. Anyways sema shida yako ni nini hapo labda? Click to expand... Kufahamu the reason why afu ni missed call naona yaaani simu inaita kwa sekunde 1 then inakata , isije kuwa wasiojulikana wananitafuta....
Moo Click said: Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi.. Anyways sema shida yako ni nini hapo labda? Click to expand... Kufahamu the reason why afu ni missed call naona yaaani simu inaita kwa sekunde 1 then inakata , isije kuwa wasiojulikana wananitafuta....
L leoleo-tu JF-Expert Member Joined Dec 18, 2018 Posts 2,243 Reaction score 6,871 Oct 21, 2023 #6 Lexus SUV said: Kufahamu the reason why afu ni missed call naona yaaani simu inaita kwa sekunde 1 then inakata , isije kuwa wasiojulikana wananitafuta.... Click to expand... Yani hata mimi huwa napata simu kama hizi zina code za rwanda na burundi. Na huwa nikicall naambiwa hizo namba hazipo
Lexus SUV said: Kufahamu the reason why afu ni missed call naona yaaani simu inaita kwa sekunde 1 then inakata , isije kuwa wasiojulikana wananitafuta.... Click to expand... Yani hata mimi huwa napata simu kama hizi zina code za rwanda na burundi. Na huwa nikicall naambiwa hizo namba hazipo
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,131 Reaction score 6,368 Oct 21, 2023 Thread starter #7 Ahaa basi nimejua ni scam phone call