hapana kuhusu population dodoma na tanga mjini wote wana pishana kidogo sana ila majengo ya tanga na mitaa yake wako mbali ujue kule mjerumani aliwekeza sanaMkuu kwa hili umedanganya kama una maanisha kujijenga dodoma imezidi majiji kama mbeya na tanga lakini kwa watu idadi hapo sawa,ukitaka kujua dodoma kwa wewe uliepita njia tu tena Singida road iangalie kwa ndege ndo utanielewa
tanga iko vizuri ila haina mishemishe iko cool sanaMkuu, kuangalia kwa ndege hata ukipita Singida, Morogoro, Mtwara, Moshi inaonekana vizuri. Dodoma imejengwa majengo mapya, na iko vizuri. Tanga imepooza kweli lakini so far, Dodoma haijaifukia Tanga bado
Hiyo pic ya mwisho imenibamba nitakuja Dom one dayWakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali
Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
ama kweli ukisikia kazi na dawa ndio hii,ama umetuweza!Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali
Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
Ombaomba toka Tanzania wamejaa NakuruMi sijaelewa, Omba Omba wa Kenya wanatoka Nakuru?
Dodoma kwa sasa inatishaWakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali
Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
Kwa sasa, Dodoma iko juu sanandugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza
π π π Hi pisi ya DODOMA eti?Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali
Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
Hii picha ya mwisho Ni ya Dodoma sehemu gani?Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa