mmmmh, mwishon ukaamua utuwekee na miss BantuWakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali
Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
Lakini, anahusikaje Hapa?mmmmh, mwishon ukaamua utuwekee na miss Bantu
Sheikh kipozeo hapo hoimmmmh, mwishon ukaamua utuwekee na miss Bantu
Mkuu sio kweli hata kidogochumvi tupu dodoma bado,dodoma inazidiwa hata na tanga
ndugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepoozaMkuu sio kweli hata kidogo
Umenena vyema mkuu lakini embu nikuulize kitu mara ya mwisho kufika dodoma ni lini?ndugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza
Mkuu kwa hili umedanganya kama una maanisha kujijenga dodoma imezidi majiji kama mbeya na tanga lakini kwa watu idadi hapo sawa,ukitaka kujua dodoma kwa wewe uliepita njia tu tena Singida road iangalie kwa ndege ndo utanielewachumvi tupu dodoma bado,dodoma inazidiwa hata na tanga
...aliyejazia neema za allahmmmmh, mwishon ukaamua utuwekee na miss Bantu
Mkuu, kuangalia kwa ndege hata ukipita Singida, Morogoro, Mtwara, Moshi inaonekana vizuri. Dodoma imejengwa majengo mapya, na iko vizuri. Tanga imepooza kweli lakini so far, Dodoma haijaifukia Tanga badoMkuu kwa hili umedanganya kama una maanisha kujijenga dodoma imezidi majiji kama mbeya na tanga lakini kwa watu idadi hapo sawa,ukitaka kujua dodoma kwa wewe uliepita njia tu tena Singida road iangalie kwa ndege ndo utanielewa
Katika nn haswa? embu weka wazi maana mkuu hapo juu amesema eti Tanga imeizidi Dodoma majengoMkuu, kuangalia kwa ndege hata ukipita Singida, Morogoro, Mtwara, Moshi inaonekana vizuri. Dodoma imejengwa majengo mapya, na iko vizuri. Tanga imepooza kweli lakini so far, Dodoma haijaifukia Tanga bado
Soma post no9 mkuuKatika nn haswa? embu weka wazi maana mkuu hapo juu amesema eti Tanga imeizidi Dodoma majengo
Sio kweli, na kama kweli tupia picha tujiridhishe, hapo utatukamata mkuundugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza