Hiyo "Polls" hapo hai-make sense kabisa!Sijui hawaangalii kabla ya kuweka vitu kama hivyo kwenye mtandao.Katika ulimwengu wa sasa ambao website ndo zinakuwa pengine ndo namna yako ya kwanza ya kufikia walengwa hutegemei utakuwa na upuuzi kama huo kwenye website ya Chuo Kikuu!