Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

Chifu, katika nafsi yako na mbele ya Mungu wako, hivi unaamini Tanzania kuna demokrasia? Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia: siyo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, wala Kikwete! Tuna demokrasia kwenye makaratasi tu.
It's true brother ...I agree 100%
 
Ndo yanakoma sasa na yatazidi kukoma kwa JPM na yanatapata mno. Majizi hayo yana nguvu kwa mazuzu kama ninyi mnaofuata upepo bila kuangalia unavumaje
Yanakomaje chifu wakati yapo mtaani? Mengine tunaambiwa hata tusiyazungumzie, tuyaache yapumzike!! Huku mengine ndiyo yakiwa Ikulu, ati kama Rais! Sasa huko kukoma unakokusema wewe ndiyo kukoje chifu?

Sasa kwanini isionakane yana nguvu? Maana Mahakamani hayafikishwi zaidi ya kuyalalamikia tu, wakati tunayaita ni majizi!!

Nipe ilmu chifu!
 
Dodoma: Askari kanzu wanamsaka Tundu lissu kwa udi na Uvumba, Wanataka kumkamata. Mlinzi wa Amani anamtafuta Lissu, Nahisi hii ni kutokana na matamshi aloyatoa hivi karibuni alipokuwa akiikosoa na kuikemea Serikali ya CCM kuhusu ukandamizaji wa Demokrasia na uminyaji wa Uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. VIDEO: Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Baada ya kustukia Mtego, Tundu Lissu ameapa kutokutoka nje ya Mahakama na kama wanamtaka wamfuata ndani ya Mahakama wamkamate. Kwai kaenda kuwatetea wateja wake tangu jana anawatetea.

Huu hapa ni ujumbe katuma

"Tell members that there are police officers in plain clothes who've been sent to arrest me in the Dodoma Resident Magistrates Court where I'm representing clients in a court hearing since yesterday. Tell them I'm not going to go out of the courtroom. If I've to be arrested then it will be inside the courtroom. Send this to all our networks in and out of the country.."

My Take:

Utakaa ndani lakini mwisho wa siku utatoka. Hata Sadam Hussein alijichimbia lakini alitoka. Au tutakurushia bomu la machozi. Ukitoka unadakwa.

======

UPDATE 1

Tundu Lissu:
Dear members.

Greetings from your President wherever you may be.

I'm in Dodoma since Monday night. I've been representing schoolteachers in a dispute with their trade union body since yesterday.

Early today before coming to the Dodoma Resident Magistrates' Court for the case, I was called by my wife in Dar to be informed that about six police officers in plainclothes were in my residence looking to arrest me for my criticism of President Magufuli's policies two days ago.

After they're informed of my absence, they must have communicated with Dodoma for, while in Court about an hour ago, I was informed that there were police officers waiting for me outside the courtroom.

They'll pounce on me the moment I step outside the courtroom.

I'll most likely be transported to Dar again. It's almost certain I'll be incarcerated in police jails as it's happened so often this past one year or so.

I'm undaunted and remain steadfast. I'll not be silenced by the Tyrant. No jail or police dungeon will shut me up.

It's a question of principle: we're either a Democracy in which free speech and political freedoms are respected; in which even the most vehement criticism of the President is tolerated, if not encouraged.

Or we're a Dictatorship, in which there's no freedom and whatever the Big Man says is unchallenged.

I've chosen Democracy over Dictatorship. I'm prepared to pay the price for my choice. I ask you all to make the choice as well.

Since they've chosen to follow me in court while I'm doing my duty as an officer of the court, I've decided I'll remain inside the courtroom.

If they've to arrest me, then it'll have to be inside the courtroom. The world will have to know what Tanzania ya Magufuli really is: a Dictatorship.

I ask you all to mobilize. Do what you can to get the word out. Tell the world what's happening. Tell our sister societies in East Africa, in SADC and in PALU as well as IBA about this.

Only mobilization and resistance on this scale will secure our rights as lawyers. Only mobilization will prevent the Tyrant from legislating TLS out of existence, as he has openly declared.

I wish you all the best.

Tundu Lissu
President.

=======

UPDATE 2:

Polisi Waamua kumfuata ndani ya Mahakama.


RPC wa Dodoma amemfuata Tundu Lissu ndani ya Mahakama na kumuambia kwamba hajaagiza mtu yoyote kumkamata, hivyo asiogope kutoka nje. Amemwambia atoke tu kwani hajapata maagizo yoyote ya kumkamata Lissu. Sasa Lissu Kashatoka Mahakamani yupo Nyumbani kwake Area D. "Uwe na amani, hakuna atakaye kusumbua". Amesema RPC wa Dodoma.
View attachment 545869

UPDATE: 3

Tundu Lissu:
Dear members.

Sorry to disturb y'all again. I'm relieved to have to inform you that I'm free, for now at least.

A short while ago the Regional Police Commander for Dodoma came into the courtroom to personally inform me that he's under no instructions to have me arrested.

He asked me, politely I must confess, to leave the courtroom and no one will molest me. He said it in front of the cameras, as members of the press were present in good number.

I've decided to give him the benefit of my doubts. I'll be driving back to Dar tomorrow morning, to be able to catch an evening flight to Kigali, to attend EALS Governing Council meeting slated for Friday and Saturday.

We can, for now at least, breath an easier sigh of relief.

I thank you for keeping me in your thoughts and prayers.

Tundu Lissu
President

Habari zaidi...

Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu amegoma kutoka katika chumba cha mahakama ya wilaya ya Dodoma alipokuwa akifanya shughuli zake za uwakili akihofia kukamatwa na jeshi la polisi kwa makosa ya uchochezi.

Mwanasiasa huyo ambaye pia ni rais wa chama cha mawakili Tanzania anasema amefikia uamuzi huo baada ya kubaini njama za polisi za kumkamata ambapo anadai awali askari wa jeshi hilo walifika nyumbani kwake Dar es Salaam na kumkosa na baada ya kuambiwa yuko Dodoma wamefika katika viwanja vya mahakama wakisubiri amalize shughuli zake na kisha wamkamate.

Aidha Mhe. Lissu amelitaka jeshi la polisi na baadhi ya viongozi wa serikali kuacha kukamata wanachama na wafuasi wa vyama vya upinzani ambao wanafanya mikutano ya ndani ya yenye lengo la kuimarisha vyama vyao kwani huku kufanya hivyo ni kukiuka demokrasia.

Mpaka ITV inaondoka mahakamani hapo majira ya saa kumi na nusu ambapo shughuli za mahakama zilikuwa zimemalizika Mhe. Lisuu alikuwa bado amesalia ndani ya chumba cha mahakama akiwa na baadhi ya wateja wake

Chanzo: ITV

Hili debe tupu shida linapenda kiki halafu jioga.na anavyopenda upresidaa hadi aibu
 
Mbowe unasubiria nini kamanda?
Chama kinashindwaje kupeleka vijana hapo tukajua moja!
Tutaonewa hivi mpaka lini?
Unaonewa nini,kwani lazima umsubiri Mbowe,Mbowe ana shida gani,naona huna kazi mkuu unataka kufanya vurugu ili upore mali za watu,nenda mwenyewe ukale virungu ndio utatia akili
 
Majibu kwako na kwa wapuuzi wengine kama wewe haya hapa kawajibu mkuu barafu


Huwezi kuelewa "janja" ya Tundu Lissu,sababu mwaka 1994 wakati anaanza "harakati" kwa mgongo wa sheria,wewe na ndugu yako mlikuwa Wakemia wa Maabara za Chuo cha Uvuvi Nyegezi,huku kwenye akili mkiwa na kumbukumbu za kukimbia ualimu wa Chemia Sengerema.

Ile kwa Lissu ilikuwa "teknikaliti" moja hatari sana.Ilikuwa ni moja ya hatua ya kwanza kuthibitisha kwanini muhimili huo unakaimiwa na mtu mwenye uweledi wa kiprofesa,ilikuwa ni hatua y kutengeneza kitini cha hadidu za rejea za somo la Civics,Topic ya "Forms of The Gvt".Miaka kumi na tano ijayo,watoto wa form two wangepata rejea ya aina ya tawala za Tanzania zilizowahi kupita.

Kuna watu duniani wameumbwa kutengeneza historia za watu,kuna watu wameumbwa kutengeneza historia,na kuna watu wameumbwa kusoma na kukariri tu historia za maisha ya watu.Jichunguze,wewe na Lissu mnaweza kuwa kundi moja?

RPC hakuwa na haja ya kwenda kumwambia hatafutwi,wakati maagizo yalikuwaatafutwe.Maamuzi yalikuja baada ya simu kutembea.Lissu anafanya mamboyatakayomuweka mahabusu kwa amri ya juu,lakini si mambo ambayo sheria inaweza kumfunga.Sheria,Udaktari na ualimu,ndio "Noble Proffesional" zilizokuwepo hata kabla ya. Yesu kuzaliwa.Hukumsikia hata Yesuakiwataja Walimu na Wanasheia?
Kwa akili yako ndogo unafikiri Tanzania inamhitaji Lissu kuliko JPM? Acha kumlinganisha Rais wa nchi na vitu vya kijinga kama kitobo. Mambo ambayo magufuli ameifanyia nchi hii ni Mara milioni zaidi ya aliyoyafanya huyo mwanasheria wako zwazwa. Hata jimbo lake tu hakuna cha maana alichokifanya. Kama bado unabisha taja mambo 10 aliyoyafanya tobo jimboni kwake yenye kuwanufaisha wananchi. Alichojaliwa ni DOMO chafu tu lisilochagua LA kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania bana ni nchi ya ajabu kweli, sasa Free Speech hakuna tena katika nchi hii naona
 
Kila siku mnakoment humu kwamba watu wa kanda ya ziwa ni wajinga! Au unataka nikuletee ushahidi

......

Message niliyo quote ilisema Lissu kawaita wasukuma wajinga. Nimesoma tena hiyo message hakuna mahali Lissu amewaita wasukuma wajinga kwa ujumla wao. That is my point.
 
Jamaa ana watoto na Familia ya kuhudumia kuwa role model, unakwenda kujisalimisha kwa Kitoto cha Kizungu tena trainee, how low can this nigger get?

08a4a600-b23a-4722-b978-c86e674dc75c-jpg.545869
 
Back
Top Bottom