DODOMA: Polisi watanda mitaani

DODOMA: Polisi watanda mitaani

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,050
Reaction score
1,359
Jamani hali ni mbaya sana hapa mkoani dodoma polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile wamemwagwa mtaani utafikiri kuna hali ya hatari mkoani hapa.

Cha kushangaza watu wanajiuliza hii yote kutisha watu ni kwa faida ya nani? ili iwe nini??

Kamanda wa polisi mkoa Bw. Misime na mkuu wa mkoa Bi. Galawa kwa matamshi mbalimbali wamekuwa wakitamka matamshi mbalimbali kuashiri kuna jambo wameagizwa,

Nimeshindwa hata kuwapiga picha kwa kuhofia kukamatwa, watanzania katika mji huu hawana amani kabisa

Nina mashaka kama itafika saa kumi na mbili jioni kukawa na watu mitaani.

Vyombo vya habari tunaomba muumlike mko wa Dodoma kwa jicho la tatu

Mungu Wabariki watanzania
Mungu ziinue imani zao kwa wale wawapendao
 
kama hao wakazi wa Dodoma watakuwa na misimamo ya kuindelea kuishabikia CCM wataendelea kuburuzwa milele.
 
Wanajua katika historia makao yao makuu yanachukuliwa na mpinzani (Kagaila) na hawataki itokee.
Any violation of justice itawajuza kuwa nguvu ya umma ni nguvu ya asili!
 
kama hao wakazi wa Dodoma watakuwa na misimamo ya kuindelea kuishabikia CCM wataendelea kuburuzwa milele.

Mkuu kwa dodoma mjina wana wa hapa wamehamua kufanya mabadiliko, ila watawala hataki kukubaliana na matakwa ya wananchi
 
kama hao wakazi wa Dodoma watakuwa na misimamo ya kuindelea kuishabikia CCM wataendelea kuburuzwa milele.
Mkuu umenikumbusha mbunge mmoja wa ccm akichangia bungeni juu ya tatizo la njaa dodoma, alisema wenye shida wapelekewe Mtama badala ya mahindi kwani selekali huwahamasisha kulima Mtama, jambo lililo wakasrisha wana dodoma
 
Tuhamasishane tukapige kura kwa nguvu kuitoa ccm madarakani
 
Polisi ni kitu cha kawaida na wapo kwa ajili ya kulinda amani. Wewe kama unakwenda kupiga kura bila kuvunja sheria yoyote hofu yako ni nini? Kama huna mpango wa kuvunja sheria unaweweseka nini polisi wakimwagwa mitaani? Kazi ya jeshi la polisi ni kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Sasa katika siku muhimu kama ya kesho ni lazima ulinzi uimarishwe ili kusitokee uvunjifu wowote wa amani.
 
Jamani hali ni mbaya sana hapa mkoani dodoma polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile wamemwagwa mtaani utafikiri kuna hali ya hatari mkoani hapa.

Cha kushangaza watu wanajiuliza hii yote kutisha watu ni kwa faida ya nani? ili iwe nini??

Kamanda wa polisi mkoa Bw. Misime na mkuu wa mkoa Bi. Galawa kwa matamshi mbalimbali wamekuwa wakitamka matamshi mbalimbali kuashiri kuna jambo wameagizwa,

Nimeshindwa hata kuwapiga picha kwa kuhofia kukamatwa, watanzania katika mji huu hawana amani kabisa

Nina mashaka kama itafika saa kumi na mbili jioni kukawa na watu mitaani.

Vyombo vya habari tunaomba muumlike mko wa Dodoma kwa jicho la tatu

Mungu Wabariki watanzania
Mungu ziinue imani zao kwa wale wawapendao

Ama kweli ujinga ni shiiidaaaa! Kuna hali mbaya katika hili?

"polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile" ndiyo wanakutoa mimacho hivyo Gambas? Unafikiri wao siyo binadamu kujikinga na kujiimarisha kiusalama?

Kushindwa kwako "kuwapiga picha kwa kuhofia kukamatwa", siyo kazi yako, wewe ni mpiga picha wa kusomea au ndiyo simu yako inakuwasha kila kitu kupiga picha. Kazi hiyo ina wenyewe ndg yangu. Jukumulako kwa sasa ni kupiga kura. Waache polisi wafanye kazi yao na wewe fanya kazi yako ya kupiga kura.

Jamani hali ni mbaya sana hapa mkoani dodoma polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile wamemwagwa mtaani utafikiri kuna hali ya hatari mkoani hapa.

Cha kushangaza watu wanajiuliza hii yote kutisha watu ni kwa faida ya nani? ili iwe nini??

Kamanda wa polisi mkoa Bw. Misime na mkuu wa mkoa Bi. Galawa kwa matamshi mbalimbali wamekuwa wakitamka matamshi mbalimbali kuashiri kuna jambo wameagizwa,

Nimeshindwa hata kuwapiga picha kwa kuhofia kukamatwa, watanzania katika mji huu hawana amani kabisa

Nina mashaka kama itafika saa kumi na mbili jioni kukawa na watu mitaani.

Vyombo vya habari tunaomba muumlike mko wa Dodoma kwa jicho la tatu

Mungu Wabariki watanzania
Mungu ziinue imani zao kwa wale wawapendao

Ni najionea kawaida mkuu nimepishana nao hawana hata tabu na mtu waache watulinde wanalipwa kwa kazi hiyo,sitegemei kuvunja sheria baada ya kupiga kura najipumzikia zangu home watanipatia wapi,we we mvunja amani wasiwasi kibao.
 
"Polisi ni kitu cha kawaida na wapo kwa ajili ya kulinda amani. Wewe kama unakwenda kupiga kura bila kuvunja sheria yoyote hofu yako ni nini? Kama huna mpango wa kuvunja sheria unaweweseka nini polisi wakimwagwa mitaani? Kazi ya jeshi la polisi ni kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Sasa katika siku muhimu kama ya kesho ni lazima ulinzi uimarishwe ili kusitokee uvunjifu wowote wa amani"
 
ccm ni wafu.....WANAJARIBU KUTISHA WATU KWA KUTUMIA MISUKULE YAO
 
Jamani hali ni mbaya sana hapa mkoani dodoma polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile wamemwagwa mtaani utafikiri kuna hali ya hatari mkoani hapa.

Cha kushangaza watu wanajiuliza hii yote kutisha watu ni kwa faida ya nani? ili iwe nini??

Kamanda wa polisi mkoa Bw. Misime na mkuu wa mkoa Bi. Galawa kwa matamshi mbalimbali wamekuwa wakitamka matamshi mbalimbali kuashiri kuna jambo wameagizwa,

Nimeshindwa hata kuwapiga picha kwa kuhofia kukamatwa, watanzania katika mji huu hawana amani kabisa

Nina mashaka kama itafika saa kumi na mbili jioni kukawa na watu mitaani.

Vyombo vya habari tunaomba muumlike mko wa Dodoma kwa jicho la tatu

Mungu Wabariki watanzania
Mungu ziinue imani zao kwa wale wawapendao
wameagizwa na watanzania kuilinda amani na kulinda Raia na mali zao.
 
Back
Top Bottom