Jamani,mimi matumaini na serikali yetu yameanza kunipotea kabisaaaaaa!!!!unless ituambie kuwa ina agenda ya siri ya kueneza uislamu na kuwanyanyasa wakristo.jiulize swali dogo tu.kwa nini anapotawala rais wa kiislamu,lazima vurugu za kidini,na hasa ukatili kinyume na wakristo unashamiri?halafu angalia,viongozi wote wa juu wa serikali ni waislamu,japokuwa rais aliiyeyusha hii mada,lakini ukweli unabaki palepale.hebu angalia wakati wa mkapa,yeye alikuwa rais lakini makamu wake akawa mwislamu.hata alipofariki bado alichagua mwislamu.HUYO PINDA WALIOMPA UWAZIRI MKUU NDO HUYO WANAM-REMOTE CONTROL KAMA WANAVYOTAKA,KIASI AMBACHO ANAKUWA KAMA ANAOMBEA KIPINDI CHAKE KIISHE.ANGALIA JINSI LOWASA WALIVYOMBEBESHA SHUZI AMBALO KIMSINGI HALIKUWA LA KWAKE,ILI TU KUMFRUSTRATE.MBONA SIJAONA MOJA YA VIONGOZI WA JUU WA KIISLAM WAKIINGIA KWENYE SINTOFAHAMU NA SERIKALI?ccm isitufanye kuwa sisi ni watoto.tunaona yanayoendelea ila tunanyamaza tu.angalia jinsi yule mchungaji alivyochinjwa bila sababu,kisa eti kafungua bucha yake.angalia makanisa yanavyochomwa.angalia kashfa za udini vyuoni.jamani serikali,chukueni hatua.msisubiri mambo yameharibika ndio muanze kuhangaika.WAKATI WA MWINYI,HAYA MAMBO YALIKUWA YAKIIBUKAIBUKA KIMTINDO,ILA MWINYI ALIWEZA KUTUMIA BUSARA YA HALI YA JUU SANA KUYASOLVE,NA ALIKUWA ANATOA MSIMAMO WA SERIKALI,EG KUMBUKENI ILE ISSUE YA RUKSA KULA CHOCHOTE.LAKINI SASA HIVI HAKUNA MSIMAMO WA HEKIMA UNAOSOLVE MAMBO HAYA.UTAKUTA OOH TUMESIKITISHWA SANA NA HALI INAYOENDELEA.....OOH WAISLAM WAENDELEE KUCHINJA....NO SERIKALI INATAKIWA IKAE CHINI NA KUONA MAAMUZI YA BUSARA AMBAYO HAYATAATHIRI UPANDE WOWOTE..LAKINI HAWAFANYI HIVYO KWA SABABU SERIKALI YENYEWE INAONEKANA KAMA VILE IKO UPANDE MMOJA..HILI HATA CHIZI ANALIONA...CHRISTIANS ARE SO POLITE,BUT ONLY WHEN THE SYSTEM USE WISDOM TO SOLVE CRITICAL ISSUES.