Kama Kitongoji cha Ndejengwa peke yake umewahoji watu 21 kati ya 97, nina mashaka na utafiti wako!
Ameshatoka City secondary siku nyingi sana. Currently inaongozwa na watoto wake. Acha majungu kijanaLabda ametingwa zaidi na majukumu katika shule yake ya sekondari ya CITY.
Kama Kitongoji cha Ndejengwa peke yake umewahoji watu 21 kati ya 97, nina mashaka na utafiti wako!
Kama Jimbo la Arumeru Mashariki halijawahi kuwa na Mbunge tokea Uchaguzi!
Arumeru Magharibi ndiyo hakuna mbunge kabisa, yaani ni afadhali ya Arumeru Mashariki ambayo haina mbunge kuliko Ole Medeye.
ni Njedengwa (Manyani).
Yaani Arumeru Mashariki wote wehu hata wa CDM Ole Kisambu si inasemekana alikula mlungula ili ashindwe
Nimepita maeneo mbalimbali ya dodoma mjini kuhoji watu kuhusu utendaji kazi wa mbunge wao mh.malole kupitia ccm na nimehoji wato 97 katika watu hao watu 73 wanasema mbunge wao hafanyin lolote tangu alipochaguliwa ni bora wangekaa bila mbunge kwani hana faida kwao.watu 21 niliowahoji katika kitongoji cha njedengwa palipobomolewa nyumba siku chache zilizopita wamesema mbunge waliemchagua hakuonekana kabisa katika kuwasaidia wananchi wake tofauti na ahadi zake wakati wa kampeni kwamba angekuwa pamoja na wananchi hasa katika wakati wa shida.
Naomba kuwasilisha jamvini kwa wadau.