Dodoma mji usio na madhari ya kuvutia

Wow! Now Dodoma looks green. Nakumbuka makamu wa Rais alizindua kampeni ya kupanda miti na kuifanya Dodoma iwe ya kijani. Niliibeza kampeni yake kimoyo moyo nikijisemea ni ngumu kwa jangwa kuwa la kijani but now its coming. Here it is, a greenish Dodoma.
 
Dodoma kukinyesha mvua mbona huwa kwa kijani sana mkuu...subiria mwezi nane au 9 hivi ....

hiyo kampeni ni nzuri ila matokeo yake hayawezi kuja kwa muda mfupi hivyo
 
Nilitaka kusema hivyo hivyo ,kipindi cha mvua Dodoma utaipenda lkn acha jua liwake na kiangazi kije ndio utaujua ukame wa Dodoma unafananaje, vumbi mtindo mmoja!
 
Kulazimishana tu; naenda kulinda ili kibarua changu
 
Subiri kiangazi kije ndo utajua rangi ya Dodoma
Kweli kaka. Nakumbuka nilifika mpwapwa kipindi fulani ilikua kipindi mvua zinapiga kulinivutia sana..nikaenda kipindi cha kiangazi sikuamini macho yangu.
 
Uzur wa Dodoma as compared to Dsm, hakuna foleni wala joto kama la Dar. Na wanaume wa Dom sio kama wa Dar (jst kidding)
 
Uzur wa Dodoma as compared to Dsm, hakuna foleni wala joto kama la Dar. Na wanaume wa Dom sio kama wa Dar (jst kidding)

dar hapafananishwi na mahali popote Tanzania... dar panapimwa na nairobi, lusaka, harare, jo burg etc
 
Ni kweli. Kwa sababu pana shida sana. Uzuri nimeishi pote, Dar na Dodoma

yaani utoke dar ukakae dodoma.. hapo ni lazima mwajiri akulazimishe.. ila hivi hivi haiwezekani.. uache tibiwa muhimbili au agakhan ukatibiwe udom.. uache kucheza mziki next door au tips ukacheze dodoma maisha club.. mtoto atoke feza aende shule dodoma....
 
Mbn husemi uache foleni ya Jangwani ukateleze mwanzo mwisho ktk barabara za Dodoma..??
Unafikiri ni wangapi Dar wana uwezo wa kusomesha watoto Feza..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…