Habari za jioni wana jukwaa nimefikaa dodoma jioni hii kwaio nilikua na uliza Kwa wale wenyeji kuwa niingie mitaa ipi ili nami nifurahie kama mwanaume halisi
Dondoka dodoma carnival karibu na stendi kuu kwa watoto classic dodoma upate ramani za mjini na viwanja vikali au windini keko kwa watoto wa buku 5 mpaka k1 au nyerere square kwa washamba na mahouse girl.