DODOMA: Lowassa aongoza kikao cha ndani cha CHADEMA, Kibaigwa

DODOMA: Lowassa aongoza kikao cha ndani cha CHADEMA, Kibaigwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Police huko Dodoma wamezuia kikao cha ndani cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakisema hawaruhusiwi kufanya kikao bila kibali cha police.

----------------------

Update kutoka Kibaigwa Dodoma

Wameruhusu kikao kiendele....

Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Mh. Lowassa akiwasili katika eneo la Kibaigwa wilayani Kongwa kwa ajili ya kuanza ziara ya kuonana na viongozi wa mabaraza ya chama katika ngazi za chini.
 

Attachments

  • IMG-20161120-WA0018.jpg
    IMG-20161120-WA0018.jpg
    58.7 KB · Views: 111
  • IMG-20161120-WA0032.jpg
    IMG-20161120-WA0032.jpg
    78.2 KB · Views: 149
  • IMG-20161120-WA0029.jpg
    IMG-20161120-WA0029.jpg
    68.6 KB · Views: 109
  • IMG-20161120-WA0030.jpg
    IMG-20161120-WA0030.jpg
    93.8 KB · Views: 111
  • IMG-20161120-WA0028.jpg
    IMG-20161120-WA0028.jpg
    92.4 KB · Views: 100
  • IMG-20161120-WA0036.jpg
    IMG-20161120-WA0036.jpg
    72.3 KB · Views: 96
Ccm ni chama kilichochaojaa hofu kutokana na kwamba ushindi wao umejaa mashaka, na ndio maana wanaishi na kutawala kwa hofu, mwisho wa siku wamechagua njia ambayo itakuja kuwashinda wao wenyewe. ....ubabe, uonevu, haijawahi kuwa njia sahihi ya kuleta utengamano ktk taifa lolote. ...

Ukitawala kidikteta uchwara, maana yake unaulinda ushindi haramu ulioupata kipindi cha uchaguzi
 
Police huko Dodoma wamezuia kikao cha ndani cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakisema hawaruhusiwi kufanya kikao bila kibali cha police....
Poleni makamanda nadhani hii ndiyo iwe mbinu mpya ili kuja kufika 2020 watajikuta mafanikio ni kuzuia mikutano ya cdm na cuf
 
Police huko Dodoma wamezuia kikao cha ndani cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakisema hawaruhusiwi kufanya kikao bila kibali cha police....
***
MUNGU ATUPE UVUMILIVU BUSARA NA HEKIMA,MAANA KWA AINA YA UONEVU ULIOPO INFACT HAUVUMILIKI UNAUDHI PIA UNAKERA SANA,NI RAHISI HATA KUTUKANA HOVYO...../ THIS IS TOO MUCH..../ SIO AINA YA UONGOZI BORA UTAKAOLETA MAFANIKIO,YETU MACHO.......
 
Nani amewapa mamlaka Jeshi la Polisi kuzuia vikao vya ndani vya vyama siasa wakati vipo kisheria?
Haya mamlaka ya Polisi yamezidi wanazuia kwa sababu zipi? Mbona sijawahi kusikia wanazuia vya CCM?
 
Jamani wajuwe kuwa uvumilivu piaunamwisho wake
Juu ya jitihada zote wanazotumia kuilinda Ccm bado anatoka mtu anasema polisi wamehongwa [emoji2] [emoji3] [emoji2] Shishaaaaa
Wanashindwa kusimamia mapato wanabaki kuangaika na CUF,CHADEMA. Mpaka miaka mitano watajikuta wanaoongea hiiiiiiiiii
 
Chadema wafuate sheria uwezi kuitisha kikao bila kibali kimekuwa kikao cha ukooo ndo mnawexa kuitana bila kibali cha polisi Chadema badirikeni msifanye mambo kinyamela
 
Kulipa Deni la Nhc wameshindwa kazi kujipangia vikao visivyo na kichwa wala miguu ili wale ruzuku ya chama!!!


Shame up on them
 
Watawala hili mnalowafanyia vyama vya Siasa vya Upinzani litakuja kuwagharimu sana huko mbeleni.
Endeleeni tu na huu mchezo wa kitoto!!

Na kwa vyama vya Upinzani hii iwe chachu ya ninyi kuwa wamoja zaidi kwa kuungana na kushikamana zaidi na zaidi.

Siku zote mnapokuwa kuwa kwenye hali ya maonevu ya namna hii hakuna silaha kubwa kama UMOJA.
 
Back
Top Bottom