REMSA JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2,579 Reaction score 956 Feb 28, 2014 #61 Hii yote inasababishwa na unafiki wa mkuu wa kaya,akiwa kwa wadau wengine anasema tuweke pembeni tofauti za vyama vyetu,akiwa kwenye vikao vya chama anaunga mkono kuandaa rasimu ya kijinga ya ccm'
Hii yote inasababishwa na unafiki wa mkuu wa kaya,akiwa kwa wadau wengine anasema tuweke pembeni tofauti za vyama vyetu,akiwa kwenye vikao vya chama anaunga mkono kuandaa rasimu ya kijinga ya ccm'
Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,182 Reaction score 2,021 Feb 28, 2014 #62 wanaleta uvyama kwenye mambo ya taifa
telabite JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 281 Reaction score 33 Feb 28, 2014 #63 utaifakwanza said: Ukiwa na njaa af ukavurugwa lazima uitukane ccm Click to expand... cwez bishana na MTU ambaye hana focus kama wewe najua sio makosa yako ni makosa ya wazazi wako kukulea pasipo kukujenga .bwabwa wewe
utaifakwanza said: Ukiwa na njaa af ukavurugwa lazima uitukane ccm Click to expand... cwez bishana na MTU ambaye hana focus kama wewe najua sio makosa yako ni makosa ya wazazi wako kukulea pasipo kukujenga .bwabwa wewe
Dr. Msafiri JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 471 Reaction score 154 Feb 28, 2014 #64 kifo cha nyani, ni nyani mwenyewe anayeteleza!
D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 225 Feb 28, 2014 #65 shingwengwe said: una akili kama za kitimoto!!! Click to expand... waraka umeandaliwa na chadema
D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 225 Feb 28, 2014 #66 telabite said: cwez bishana na MTU ambaye hana focus kama wewe najua sio makosa yako ni makosa ya wazazi wako kukulea pasipo kukujenga .bwabwa wewe Click to expand... we una focus gani?
telabite said: cwez bishana na MTU ambaye hana focus kama wewe najua sio makosa yako ni makosa ya wazazi wako kukulea pasipo kukujenga .bwabwa wewe Click to expand... we una focus gani?
S sarawati Senior Member Joined Dec 19, 2011 Posts 121 Reaction score 33 Feb 28, 2014 #67 Bado picha haijaishaa ndio kwanza tupo katikati..
K Kilangila JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 1,820 Reaction score 1,188 Feb 28, 2014 #68 utaifakwanza said: Vibaraka wa slaa mnahangaika kweli Click to expand... Wanahangaika kufanya nini? Au kukusanya waraka?
utaifakwanza said: Vibaraka wa slaa mnahangaika kweli Click to expand... Wanahangaika kufanya nini? Au kukusanya waraka?
K Kilangila JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 1,820 Reaction score 1,188 Feb 28, 2014 #69 abakorakamo said: huo waraka umeandaliwa ufipa , unasambazwa dodoma na mbowe, lema na mnyika Click to expand... Umetoroka Mirembe? Wanao husika tafadhali mrudisheni huyu aendelee na dozi yake.
abakorakamo said: huo waraka umeandaliwa ufipa , unasambazwa dodoma na mbowe, lema na mnyika Click to expand... Umetoroka Mirembe? Wanao husika tafadhali mrudisheni huyu aendelee na dozi yake.
G ghilipolla JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 280 Reaction score 53 Feb 28, 2014 #70 Jamani hii kura ya wazi kwani ndio CCM wameangushwa kweli?? tupeni updates tunajaa sn kujuwa kila kinachotokea huko
Jamani hii kura ya wazi kwani ndio CCM wameangushwa kweli?? tupeni updates tunajaa sn kujuwa kila kinachotokea huko
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Feb 28, 2014 #71 Ccm inawalazimisha wajumbe kutoka ccm waamini wa serikali mbili bila hoja!