Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 322
Hilo linawezekana subiri waje wakazi wa DomKama uko Dodoma kuna mtu wangu anatafuta lap top yenye uwezo mzuri mfano iwe na 1GB of ram na Hard Drive yenye storage kuanzia 60GB kwenda mbele.
Ametoa laki 3.
Jaman kama kuna mtu wa kihivyo anayo hiyo kitu hebu aPM nimpe contact za huyo mtu wasawazishe!
Asanteni wakuu!
Ipo DELL INSPIRION D400- Dar fanya hima kuni PM italetwa Dom mara moja.
Ipo DELL INSPIRION D400- Dar fanya hima kuni PM italetwa Dom mara moja.
Kwa bei hiyo labda akanunue Pentium III yenye ram 256
Bora umwambie mkuu...Anadai mimi kumwambia hivyo ni na kariri vitu teh teh teh! hata ya 50,000- utapata kwa bei hiyo tu bwa hah hah hahLaki 3 ni bora ukanunue desktop.
Mkuu usikalili vitu utaumiza kichwa sana bure! kwa taarifa yako nimepata computer laptop nzuri tu yenye 1GB ram na 160GB HDD. tena kwa bei hiyohiyo teh teh teh
hongera, inawezekana ni ya wizi au ina ubovu flani. Ichunguze vizuri kabla hujalipia.
hongera, inawezekana ni ya wizi au ina ubovu flani. Ichunguze vizuri kabla hujalipia.
hongera mkuu kama umepata laptop nzuri kwa bei ndogo,,safi sana..........:dance::dance:Kama uko Dodoma kuna mtu wangu anatafuta lap top yenye uwezo mzuri mfano iwe na 1GB of ram na Hard Drive yenye storage kuanzia 60GB kwenda mbele.
Ametoa laki 3.
Jaman kama kuna mtu wa kihivyo anayo hiyo kitu hebu aPM nimpe contact za huyo mtu wasawazishe!
Asanteni wakuu!