Dodoma kwenda kushinikiza

Sasa hivi ni FASHENI kwenda Dodoma bila kujali wewe ni nani.....

Sikonge hii kitu inakuja leta shida kubwa sana huko mbeleni! Hii ni mihemko inayoletwa na kimbunga cha pepo la matumaini ya kufikirika yakichagizwa na udhaifu uliopo sasa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…