Dodoma kuna nini jamani?

Hapo naona kuna katiba mbili kuna moja ya mtawala na nyengeni ya mtawaliwa sasa sijui ipi tuipokee
 
tatizo ni hao wananchi wanaotegemewa kuipigia kura hii katiba - wengi wao hawataisoma au kifahamu kama ina wafaa au la ila wataingiza siasa za vyama kama vile wapo kwenye uchaguzi mkuu
 
kura ya "HAPANA "inahusika hapa!!!
 
Dodoma kuna "ADODOMERA".
Watu wenye Nuru;wanajua siri iliyofichaka ya wakubwa kutangaza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…