Dodoma kumetulia utafikiri hakuna bunge

Savings yake kwa nchi ni nzuri kama hiyo savings itakwenda kwenye development projects. Mwakani ndo tutaonja mafanikio ya Mheshimiwa Rais

Umejibu vizuri na kitaalam kabisa Mkuu. Hongera sana kwa kujua kuchambua na kufikiri kiufundi!
 
Acha uwongo wewe, hyo research umefanya lini na muda gan kujua kuwa kila baa au gest zote za Dodoma hakuna wageni? Hyo ndo kazi yako kuzunguka gest zote mji wote wa Dodoma?

 

Mkuu, hivi hao changudoa's walikuwa wanalipwa kutoka kwenye mfuko wa bunge au mifuko ya wabunge? na je hivi wabunge wamepunguziwa mishahara/posho kiasi kwamba hawawezi tena kulipia gharama za huduma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…