UmeonaNa kweli , lakini hatuna namna ,tutafanyaje sasa ?
Kuna mambo magumu sana na moja wapo ni hili la kuhamia Dodoma. Lakini kama mleta mada anavyosema haiwezekani kuwa tangazo lilitolewa hadharani mwaka 1973 lakini likafutwa 'kimya kimya'. Kwa maana hiyo huenda JPM kapitia mafaili pale Magogoni na kuona huo 'ukimya kimya' haukuwa na maslahi kwa taifa bali maslahi ya watu binafsi kama ule wa kufuta Azimio la Arusha. Pia usisahau nafasi ya Zanzibar katika structure ya Muungano ina utata sana na waliolichambua hili wanalijua vizuri na wanashauri marekebisho katika kuliweka sawa.
Kwa maana hiyo ni bora tufikie sehemu na tujue kama taifa kuwa tunahamia Dodoma au haiwezekani badala ya kuendelea kuamua kimya kimya. Ofisi kuu ni kwa ajili ya kutoa maamuzi na sio 'ukimya kimya' huo!
Naungana na wewe na pia mtoa uzi huu kwa kusema kwamba ni kweli kuna gharama kubwa sana kwa Serikali kuhamia DodomaKuna mambo magumu sana na moja wapo ni hili la kuhamia Dodoma. Lakini kama mleta mada anavyosema haiwezekani kuwa tangazo lilitolewa hadharani mwaka 1973 lakini likafutwa 'kimya kimya'. Kwa maana hiyo huenda JPM kapitia mafaili pale Magogoni na kuona huo 'ukimya kimya' haukuwa na maslahi kwa taifa bali maslahi ya watu binafsi kama ule wa kufuta Azimio la Arusha. Pia usisahau nafasi ya Zanzibar katika structure ya Muungano ina utata sana na waliolichambua hili wanalijua vizuri na wanashauri marekebisho katika kuliweka sawa.
Kwa maana hiyo ni bora tufikie sehemu na tujue kama taifa kuwa tunahamia Dodoma au haiwezekani badala ya kuendelea kuamua kimya kimya. Ofisi kuu ni kwa ajili ya kutoa maamuzi na sio 'ukimya kimya' huo!
Alafu kama unakumbuka JPM alivyotoa wazo la kuhamia Dodoma alisema katika miaka 4 na miezi 4 iliyobaki kwa kipindi chake. Kilichofuata hapo ni mizuk, mizuka, mizuka, mizuka hadi RC Rugimbana alivyotoa angalizo.Naungana na wewe na pia mtoa uzi huu kwa kusema kwamba ni kweli kuna gharama kubwa sana kwa Serikali kuhamia Dodoma
1.Mifumo mingi ya kumbu kumbu za watumishi bado zipo manual kama Hazina na Utumishi.
2.Budget iliyopitishwa na wabunge ya 2016/2017 hawakuweka pesa za kuhamia Dodoma i.e. Mtu mmoja awe mme au mke na watoto watatu tu pamoja na mizigo sio chini ya 5,000,000/=
3.Bado mradi wa maji unaotoka Shinyanga haujafika Singida ndio uje Dodoma maana maji ya Dodoma hayatoshi na pamoja na sababu zingine siwezi kuzitaja hapa.
4.Miundo mbinu mingine kama Hospital ukiondoa Genaral na Feruz,Gema Hospital na pale Udom alafu uwapeleke wato wote Dodoma kwa mara moja ni hatari sana
5.etc etc etc
Uamuzi wa kuhamia Dodoma, ulianza 1973 na baadae kufutwa kimya kimya kutokana kuonekana wazi mji huo haufai kuwa mji mkuu wa Tanzania kutokana sababu nyingi ikiwamo kuwa mjii jangwa na usio kuwa na vivutio. Majuzi Rais alifufua wazo hilo katika mkutano wa siasa wa chama chake wakati akikabidhiwa uenyekiti.
Uamuzi ule ulifutwa kimya kimya kwa sababu ulikua uamuzi wa Mwalimu hivyo kufanya kila rais kukataa kutamka rasmi kuwa dodoma hakufai. Rais ameamua peke yake uamuzi huo bila kuangalia kuwa katika kipindi cha kimya kimya serikali imetumia fedha nyingi kujenga Dar es salamm. Wamejenga wizara karibu zote upya hapa Dar. Zanzibar nao kwa kuamini uamuzi ule umefutwa kimya kimya nao wamejenda ofisi yao iliopo Dar ambayo hutumiwa na viongozi wanapo kua Dar.
Uamuzi wa kwenda dodomakwa sasa utaigharimu Zanzibar, kwanza itabidi waweke bajeti nyengine ya kuwa na ofidi yao Dodoma na pili maofisa wa Zanzibar itabidi sasa kufata mazungumzo au majadiliano au issue zao dodoma kwa gharama kubwa zaidi. Kama walikua wanakuja Dar na kurudi Zanzibar jioni sasa itabidi posho iwe kubwa zaidi. Mfano wangeweza kuja Zanzibar kwa laki moja na kurudi sasa nila ya laki tano hawawezi kufika Dodoma. Hivyo Zanzbar wategemee gharama kupanda kutokana na uamuzi huu wa. Kichama zaidi.
Kwa mujibu wa Katiba yetu pendwa ya mwaka 1977, Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nadhani hapa wanasheria watanisaidia neno sehemu maana yake si kama Kigoma, Mwanza,Kilimanjaro na kwingineko?Kwani zanzibar ni nchi labda tuanzie hapo ndiyo tutaweza kujadili vizuri