BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,041 Jun 16, 2017 #1 Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya
Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Jun 16, 2017 #2 acha umalaya ukimwi utakuondoa kwenye uso wa dunia kabla ya wakati...
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Jun 16, 2017 #3 Kawaida mkuu...miji inakuwa kila kukicha
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Jun 16, 2017 #4 Kwa hiyo badiliko uliloona ni club na watoto wakali tu? nasikia harufu ya ulimbukeni flan hivi hapa...
Kwa hiyo badiliko uliloona ni club na watoto wakali tu? nasikia harufu ya ulimbukeni flan hivi hapa...
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Jun 16, 2017 #5 We komaa tu
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,122 Reaction score 12,149 Jun 16, 2017 #6 BigBaba said: Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya Click to expand... Tumejua ulisoma chuo cha Dodoma.
BigBaba said: Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya Click to expand... Tumejua ulisoma chuo cha Dodoma.
Laptop01 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2009 Posts 1,426 Reaction score 887 Jun 16, 2017 #7 BigBaba said: Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya Click to expand... Kwa hiyo hayo Ndiyo mabadiliko uliyoyaona alumni wa chuo fulani cha Dodoma?
BigBaba said: Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya Click to expand... Kwa hiyo hayo Ndiyo mabadiliko uliyoyaona alumni wa chuo fulani cha Dodoma?