Documents za kuanzisha au kufungua kampuni

Wadau,

Naomba mnijulishe makaratsi yatakiwayo kusajili, kuanzisha au kufungua kampuni. Nashukuru kwa msaada wenu, nimechoka kuomba kazi, nataka nitengeneze kazi za kuwaajiri wengine.

ni gharama kidogo sana,butvunatakiwa kujua nini unataka kufanya make unaweza kuwa na kampuni then isifanye kabisa kazi,pata ushauri na ikiwezekana shirikiana na wale wennye kampuni tayari,wengi naona wapo tayari kukupatia memorundam we una edit hasa objectives.
 

Moyo wa kuigwa kwa wana JF
 

Ntumie hapa pettyram@live.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…