Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Wadau,
Naomba mnijulishe makaratsi yatakiwayo kusajili, kuanzisha au kufungua kampuni. Nashukuru kwa msaada wenu, nimechoka kuomba kazi, nataka nitengeneze kazi za kuwaajiri wengine!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu.
0752 205 261 au makandomende@gmail.com[/
QUOTE]
Kaka na mimi nitumie pls hapa slimwamtwara@yahoo.com
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu. 0752 205 261 au makandomende@gmail.com

Kaka nami naomba hizo templates plzz
kutcojrxix@gmail.com

Haya kwa wale mnao hitaji hizi documents hizi hapa,
ubarikiwe mkuu.
Haya kwa wale mnao hitaji hizi documents hizi hapa,
Asante mdau. Naweza tumia hizi kwa Enterprises au ni kwa Limited tu??
Kwakweli sina utaaalamu huo, labda wadau wanao shughulikia mambo haya wata fafanua zaidi. lakini kwa ufahamu wangu mdogo wa google "Enterprise means a company led by one person and company lead by two or more persons is a limited" wadau wata fafanua hii ikoje,
Ila kwa ninavyojua hapa kwetu Tanzania, Brela hawana utaratibu wa usajili wa mtu mmoja kuwa na kampuni, hivyo ni lazima usajili kama limited company na iwe na watu kuanzia wawili kama directors and share owners