Documents za kuanzisha au kufungua kampuni

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Wadau,

Naomba mnijulishe makaratsi yatakiwayo kusajili, kuanzisha au kufungua kampuni. Nashukuru kwa msaada wenu, nimechoka kuomba kazi, nataka nitengeneze kazi za kuwaajiri wengine.
 
mkuu nipe 30000 tu nikupe document zote za usajir wa kampuni, kazi yako we unaedit tu na kumpelekea mwanasheria akupigie muhuri na aizidi 20000, lakini ukienda kwa wakuda wanasheria naamini utapoteza laki tatu hadi laki nne kwa document tu. kwa maelezo ni pm
 
Ni pm mara moja hiyo ni kazi ya dk 5 tu.
 
Mungu akutangulie Kwa kuukimbia utumwa,maana watu hufikiri utumwa hadi ubebe pembe za ndovu.Hata kuzunguka na bahasha kila kikicha ni utumwa ingawa hauzidi kushinda kwenye kiti ukimtumikia bosi fulani ambae hujui sku akikuota vibaya ndotoni asubuhi huna kazi.
 
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu.
0752 205 261 au makandomende@gmail.com[/
QUOTE]
Kaka na mimi nitumie pls hapa slimwamtwara@yahoo.com
 
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu. 0752 205 261 au makandomende@gmail.com

mdau big up sana wewe unajua hali halisi ya maisha sio wanaokuja na kutangaza pesa ikiwa ni kusaidiana tu ubarikiwe sana mdau
 
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu.
0752 205 261 au makandomende@gmail.com[/
QUOTE]
Kaka na mimi nitumie pls hapa slimwamtwara@yahoo.com

Kaka nami naomba hizo templates plzz
kutcojrxix@gmail.com
 
jaribu pia kupitia website ya BRELLA,Utapata mwanga na utaongeza uelewa kwa hicho unachotaka kuanziasha,wish u all the best!!!!
 
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu. 0752 205 261 au makandomende@gmail.com

kaka naomba na mimi uni2mie, chagulas@gmail.com
 
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu. 0752 205 261 au makandomende@gmail.com

Mkuu nionjeshe na mimi to frema120@yahoo.com, sante sana
 
Asante mdau. Naweza tumia hizi kwa Enterprises au ni kwa Limited tu??

Kwakweli sina utaaalamu huo, labda wadau wanao shughulikia mambo haya wata fafanua zaidi. lakini kwa ufahamu wangu mdogo wa google "Enterprise means a company led by one person and company lead by two or more persons is a limited" wadau wata fafanua hii ikoje,

Ila kwa ninavyojua hapa kwetu Tanzania, Brela hawana utaratibu wa usajili wa mtu mmoja kuwa na kampuni, hivyo ni lazima usajili kama limited company na iwe na watu kuanzia wawili kama directors and share owners
 
Thanks ALOT Boss for your reply.
 
Back
Top Bottom