Documentary: Kwa Wote Tunaotumia Social Networks

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,832
Reaction score
5,304
Terms and Conditions Apply ni documentary inayoonyesha jinsi mashirika makubwa ya usalama jinsi yanavyotumia internet na simu, mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Google na nyinginezo kufuatilia taarifa za watu, bila watu kujua, na zaidi tunapokubali bila kujua wakati tunapojiandikisha/register kwenye hii mtandao ya kijamii bila kusoma kanuni na masharti yao.

Unaweza Kuingalia na Kuipakua Hapa:Watch online Terms and Conditions May Apply

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…