By Tariq Nasheed..
kwa wasiojua, hidden colors ni documentary inayoelezea historia ya mtu mweusi (black man) like never before.
kwa kiasi kikubwa wazungu wamejiweka mbele kwenye mambo mengi na wengi walifanya hivyo kipindi ambacho mzungu alikuwa ni 'superior race'.
Kwahiyo kuna sababu walifanya hivyo, ila pia kwa afrika hawakuwa 'advanced' sana kwenye shughuli za kuandika na kuchapisha kwahiyo kuna ukweli weusi wako 'slow' na wazungu wako mbele.
Jiulize swali jepesi, nani alitangulia kuandika comprehensive research ya vitu? Ukweli ni wazungu.. And if that is the case then they are ahead.
acheni kujitekenya.
Unahaki ya kusifia ulicholishwa, ila sio ulichojilisha. Na ndio maana umediriki mpaka kumalizia hivyo.
Wakati wa soko la utumwa, pia walikuwepo watu kama wewe katika jamii za kiafrika. Waliweza kufanikisha bihashara hiyo imudu kadiri ya ilivyotakiwa.
Je unaamini kuna kipindi mtu mweusi alipata kua "superior"
Je unajua ni kwanini pia alikuja kuwa "inferior"?
kwa kiasi kikubwa wazungu wamejiweka mbele kwenye mambo mengi na wengi walifanya hivyo kipindi ambacho mzungu alikuwa ni 'superior race'.
Kwahiyo kuna sababu walifanya hivyo, ila pia kwa afrika hawakuwa 'advanced' sana kwenye shughuli za kuandika na kuchapisha kwahiyo kuna ukweli weusi wako 'slow' na wazungu wako mbele.
Jiulize swali jepesi, nani alitangulia kuandika comprehensive research ya vitu? Ukweli ni wazungu.. And if that is the case then they are ahead.
Comprehensive research zote za Wazungu zimetoka kwa Waarabu, na Waarabu nao wamezitoa Africa kwa watu weusi
unaposema comprehesive research sidhani kama una consider timeline ya historia.
Mimi leo nikigundua kitu na nikawa na ufahamu wa hali ya juu nisipokiandika chini na neno la mdomo likamfikia mtu anayeweza kuandika na kutoa nakala basi mmiliki wa utafiti huo atakuwa yule aliyekaa na kuandika.
Sio kwamba na discount contribution ya mwafrika ila tatizo ni kwamba hata hizi theory za Darwin, laws za Charles, Newton, Galileo, Ohms, tunazozisoma leo hii wamisri walikuwa wanazijua lakini credit wanapewa wale waliojisumbua kuziandika kwa manufaa ya watu wengi.
Na ndio hapo final argument ya hii documentary inaposhindwa ku balance, kwamba pamoja na uwezo wa kufikiri wa mtu mweusi kama alishindwa kitu simple kama kuandika/document basi hakuna namna anaweza kupata credit na hilo mpaka kesho linamfanya yeye kuwa inferior kwa mzungu.
Hivi Farao alikuwa mtu mweusi au Mwaarabu?? Ungeniambia alitoka Sudan ya kusini(NUBIAN) na kuhamia Misri hapo ningekuelewa.hilo ni swali zuri, kwenye historia timeline/chronology ni muhimu sana.
kuna wakati naamini mtu mweusi alikuwa superior, wakati wa utawala wa Farao nchini Misri, Misri ilikuwa kama USA leo hii, ilikuwa ndio bora, na Farao alikuwa mtu mweusi, ila ukumbuke kabla ya hapo, kulikuwa na wazungu, maana Farao alikuja karne ya 3AD, kabla ya hapo civilisation ilikuwepo tayari 3000BC etc.
Tena hata sio kidogo, nishawai ku argue na watu wengi tu ambao kwakweli wao they dont believe in anything african, ili niuma sana!So mnahitaji documentary kujua kuwa waafrica mko vizuri?
Kweli wazungu wamefaulu sana ktk lengo lao la kutubrainwash
hilo ni swali zuri, kwenye historia timeline/chronology ni muhimu sana.
kuna wakati naamini mtu mweusi alikuwa superior, wakati wa utawala wa Farao nchini Misri, Misri ilikuwa kama USA leo hii, ilikuwa ndio bora, na Farao alikuwa mtu mweusi, ila ukumbuke kabla ya hapo, kulikuwa na wazungu, maana Farao alikuja karne ya 3AD, kabla ya hapo civilisation ilikuwepo tayari 3000BC etc.
Hivi Farao alikuwa mtu mweusi au Mwaarabu?? Ungeniambia alitoka Sudan ya kusini(NUBIAN) na kuhamia Misri hapo ningekuelewa.