hivi hawa ma dokta wa TANZANIA hawana habari nyingine zaidi ya ULIMBOKA. hadi inakera kila baada ya siku tatu ni habari ya ulimboka . nendeni mkatibu wagonjwa au AU KAMA HAMUWEZI ACHENI KAZI . kwani lazima muwe ma daktari si kazi nyingine zipo . kuna uhasimu, ujenzi,ubunge, siasa etc . TOKENI ZENU TUMEWACHOKA WAUAWAJI WAKUBWA WENYE TAMAA YA MAISHA MAZURI
Ulimboka atafikishwa mahakamani kama alifikishwa dr chitage kujibu mashtaka ya kuendesha mgomo uliozuiliwa na mahakama,ivo shtaka mojawapo ni kuidharau mahakama pamoja na mauaji ya wagonjwa ambao wangeweza kutibika
kotama koya naya muha??????ndukumu kowa?????????????????????????????????
Hivi madokta hawajui kilugha? Mbona wameandika tamko lao kizungu?
hata wakiacha kutibu wataendelea kuitwa madokta,,,,,,nyerere aliacha kufundisha ila hadi anakufa akaendelea kuitwa MWALIMU,,,,
Acha kuropoka, madaktari hawakuwaita waandishi wa habari kuwaelezea habari za ulimboka ila mwandishi mwenyewe wa habari ndiye aliyemuuliza daktari kuhusu wapi yupo Dr.ulimboka. inamaana wewe ulitaka mwandishi wa habari asijibiwe?
The fear of disclosure on the part of the perpetrators of that heinious crime against dr. Ulli can only be the sole reason for their burning desire to have him dead!
Thus said the earlier he spills the beans in broad daylight, in bare knuckles with no punches barred the better!
Once the dye is cast and the dark story is in the public domain; the motivation for gunning for our good doctor will diminish while the fear of recriminations against them will then take centre stage. Go for it MAT
haya ni mawazo ya "baby boo" ambaye hajui uzalendo ni kitu gani.kwa hiyo yote anayoyasema kikwete ni sahihi na unayakubali kama juakalulu!?
TISS wamemtuma huyo,
hivi kweli nchi hii ina wapumbavu. hivi ulitaka kila mtu awe daktari. na wote tungekuwa ma dokta nani angekuwa engineer, accountant, nurse , politician etc. nadhani wewe ni dokta au mwanafunzi wa md. njaa yenu mliyodhani kuwa dokta ni kuwa tajiri sasa imewatokea puani. heshimu na taaluma za wenzako fisi maji wewe. unadhani kuwa dokta ndio kila kitu? kikwete aliwaambia kama hujaridhika na kazi ,mazingira au mshahara unaruhusiwa kuondoka na kwenda unakoona utalipwa vizuri. na mimi nakushauri wewe si msomi kama hujaridhika na mazingira yako ya kazi then badirisha taaluma somea kitu kingine kama siasa,uchumi etc ili ukafanye kazi huko BUNGENI au BOT ukapate hayo mapesa ili uwe tajiri. otherwise mtaishia hivyo hivyo. kelele za .........hazimzuii mwenye nyumba kulala
wewe unayejua uzalendo umekusaidia nini zaidi kupiga kelele na kuishia kutekwa, kuliwa tigo, kungolewa meno na kucha
KUPE ni jina baya sana! Kama una Elimu basi watoto au wazazi wako hawapo proud na wewe! Fisi maji mwenyewe!
nchi imekombolewa lakini bajeti yake ni kwa hisani ya wafadhili.ukombozi wa kweli wa nchi hii unakuja
nakushauri fanyakazi kwa bidii upate pesa ikusaidie wewe na familia yako. achana na mambo ya bajeti . ukitaka bajeti gombea ubunge ukakae na akina zito kabwe
yaani wewe kupe hata ungetaka kuwa Dokta usingeweza! udaktari sio kusema nataka wengi walitamani ila walishindwa na wanabaki wanawaonea wivu waliofanikiwa, nionavyo na wewe ni mmojawapo! hiyo ni noble profession inaheshimika enzi na enzi! pata picha madokta wote wakiondoka na wewe ukaugua kitu kidogo cha kuhitaji msaada wa haraka wa daktari au mtoto wako au mzazi au hata mwenza wako, hapo ndipo utakapojua thamani ya dokta! utagundua kuwa ni tofauti na engineer au accoutant kwani hao unaweza ukaweka appontment ya kumuona hata mwezi ujao lakini ukihitaji emergency service ya dokta ni sasa sio kesho!
hivi hawa ma dokta wa TANZANIA hawana habari nyingine zaidi ya ULIMBOKA. hadi inakera kila baada ya siku tatu ni habari ya ulimboka . nendeni mkatibu wagonjwa au AU KAMA HAMUWEZI ACHENI KAZI . kwani lazima muwe ma daktari si kazi nyingine zipo . kuna uhasimu, ujenzi,ubunge, siasa etc . TOKENI ZENU TUMEWACHOKA WAUAWAJI WAKUBWA WENYE TAMAA YA MAISHA MAZURI
mawazo yako yote yanaishia kwenye hela tu,njoo nikupe mimi ninazo za kutosha wala usihangaike kutafuta.kwani kabla ya uhuru kulikuwa na madokta wangapi? mbona watu waliishi au unadhani hakukuwa na magonjwa? hivi unadhani MHASIBU WA TRA , au BOT anatamani kuwa dokta. nyie ndio mnaitwa MAZUZU kama alivyosema nyerere baada utafute kitu cha kukupatia hela kiulaini ungangania ooh wewe dokta. sasa kula u dokta wako.