Doctors Vs Engineers

Nikusahihishe kidogo Doctors are professionals but Engineers are not professionals, the reason behind ni kwamba principles zake zinaweza kuchange mara kwa mara lakini Doctor's principles hazibadiliki kamwe.., rule ya kumtibu mgonjwa mwenye meningitis iko hivyo hivyo miaka na miaka toka 1902 mpaka leo.. So doctor's are professionals but Engineering is not a profession is just a technician
 
Labda nikusahihishe kidogo, Doctors are professionals but Engineers are not professionals, the reason behind ni kwamba principles zake zinaweza kuchange mara kwa mara lakini Doctor's principles hazibadiliki kamwe.., rule ya kumtibu mgonjwa mwenye meningitis iko hivyo hivyo miaka na miaka toka 1902 mpaka leo.. So doctor's are professionals but Engineering is not a profession is just a technician
 
Kuna wengine wanajenga majengo yanaporomoka hata hayajaisha...kuna wengine wanafanya operesheni na mikasi wanasahau tumboni...u-smart wa mtu ni tabia na malezi, na pengine ni kipaji cha kuzaliwa nacho!!!
 
Engineer and Technician are two different people, having different qualifications and different responsibilities. Engineering principles do not change! Changes that are observed in Engineering are every day modifications as they are in Medicine! Open your mind!
 
Dr na Eng ni watu wawili tofauti. Everything dr anatumia kimetengenezwa na Engineer, na dr lazima apate special course kutumia hivyo vifaa. Licha ya hivyo miundombinu yote anayohitaji dr imetoka kwa Eng no doubt.
 
Alafu ma engineer wa kibongo njaa nyingi sana, ndo maana wengi wao wanaishia kufundisha twisheni au shule......na pia hata serikali inawaamini sana ma-engineer wa nje kama wachina alafu nyie wazawa na degree zenu mnakua vibarua kwa hawa foreigners
pointless kabisa naona umeanza kugeuza mada, isue ni ivi engineeer kwanza wengine wanafuata haijalishi ni wataifa gani Ova
 
kuugua sio lazima below 50's ni tahadhari tu, but engineering is the must
 
Basi anzeni kutengeneza mikasi wenyewe
 
jamani hayo yote bila mwalim hayawezekani tichaaa is body of knowledge
 
Hapa hapana... Rules za kutibu magonjwa zinachange kila mara... Bacteria wanajenga resistant sana siku hizi mkuu
 
Basi anzeni kutengeneza mikasi wenyewe
Haaaaahhaha naona km umemaind hivi (kidding), mi nipo huku kwenye udaktari but nafikiri utofauti mkubwa wa daktari na engineer ni kwamba, engineer wana nafasi ya kukosea na kurudia upya tena na tena but Daktari ana deal na uhai wa mtu ambao upo mara moja tu, ikitokea umekosea ukiuondoa it's irreversible
 
Mleta mada utakua daktari nini?
Hehe unapoongelea engineering ni kitu kipana sana. Doctors ukikariri mambo na kufanya practice umemaliza.

Turudi kwenye engineer, kwanza medical instruments zote mnazotumia zimetengenezwa na engineers, madawa mbalimbali mnayotumia, engineers ambao wamekaa wakachimba medicine vizuri wakaumiza kichwa na kuja na solutions. Doctors wao ni kufundishwa tu jinsi ya kuvitumia na kuambiwa vinafanya kazi kwenye mtu wa aina gani basi.

Hujasikia biomedical engineering, chemical engineering, computer , electrical engineering? Hehe acha utani aisee.

Hakuna kitu kigumu kama kukaa na kufikiria kutengeneza kitu kipya ambacho hakipo kabisa. It takes a lot of brain power, don't underestimate engineering kabisa, ni moja ya field ambazo hadi unakufa hujamaliza kusoma.

Sasa kukuonyesha umuhimu wa engineering subiri miaka kadhaa ijayo, doctors tutawareplace na kuweka robots ambazo zinaweza fanya analysis hadi treatment much faster and more accurate kuliko hata daktari.
 
Hivi kwanini mgonjwa akifia kwa daktari daktari hashitakiwi ila engineer jenga structure then i fail mahakama inakuhusu
 
Engineers anaweza kosea kujenga barabara magufuli akamwambia bomoa barabara jenga upya

Doctors wakikosea tu matibabu wanaua mgonjwa

So acheni kulinganisha doctors na Engineers



Achaneni kabisa na hiyo fani
 
Nenda Google angalia vile Viwanja vya world cup na hotels quatar vinavyojengwa ndo utajua ni nani anahitaji akili ya ziada
 
Nyie kwanini hata raisi aliwaita maengineer na sio madokta, anajua impact ya engineer katika uchumi
 
Doctors na Engineers wote ni upuuzi tu bila pesa coz ndo inayowafanya kutimiza creativity zao whether it is operation or design ya kitu chochote so money financiers it's all that matters in this world nothing without money can be made to exist in a physical world. Huko miaka ya nyuma sana even before christ birth hakukuwa na hao mnowaita leo Doctors na Engineers but everything was in place and these Doctors and Engineers emerged as a result of people's accumulation of wealth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…