vivios JF-Expert Member Jan 4, 2013 244 9 Jan 10, 2017 #1 Nashida jaman naomba kuelekezwa doctor mzur Kwa muhimbili. wa watoto mwanangu anashida ya tumbo .natanguliza shukrani
Nashida jaman naomba kuelekezwa doctor mzur Kwa muhimbili. wa watoto mwanangu anashida ya tumbo .natanguliza shukrani
Cienfuegos Member Jun 29, 2016 56 57 Jan 10, 2017 #2 Prof Dr Karim. Ni daktari wa kiasia. Yuko vizuri SANA! Huwa ana clinic Upanga pia
Fahamu Zaidi Member Oct 1, 2016 32 21 Jan 10, 2017 #3 Yap mtafute prof Karim... the best at muhimbili