tafuta unga wa ubuyu..unauzwa 5000 tu..ni noma!utak*nya daily,..weka vijiko viwili vikubwa vya chakula vilivyojaa,changanya kwenye glasi ya maji ya kawaida ya kunywa..kunywa mara mbili kwa siku mpaka utakapoona unapata choo fresh,..unaweza kuumaliza wote