Big Dy
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 467
- 541
Habari wana jamvi,
Nimetoka kumaliza msiba wa mwanangu wa kwanza aliefariki siku chache baada ya kuzaliwa.
In short ishu ilikua hivi last Monday Feb 19th wife alienda kupiga ultra sound private hospital na akagundulika kuna meconium(maji machafu) kwenye mfuko wa mtoto, nikamshirikisha doctor wake wa tangu mwanzo akasema hicho kitu hakipo na haiwezekani. Alhamis uchungu ukamshika wife tukamuwahisha hospital mapema kabisa lakin baada ya kujifungua mtoto akawa na complications zilizo pelekea mauti yake siku chache badae. Report ya kifo chake ikatolewa kwamba ni kulikua na meconium.
Sasa nataka nimuwajibishe daktar sio tu kulipia kısası ila pia kusaidia uzembe kama huu usitokee.
Nishaurini naanzia wapi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app