Doctor kahusika uzembe wa mtoto kufariki

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Habari wana jamvi,
Nimetoka kumaliza msiba wa mwanangu wa kwanza aliefariki siku chache baada ya kuzaliwa.
In short ishu ilikua hivi last Monday Feb 19th wife alienda kupiga ultra sound private hospital na akagundulika kuna meconium(maji machafu) kwenye mfuko wa mtoto, nikamshirikisha doctor wake wa tangu mwanzo akasema hicho kitu hakipo na haiwezekani. Alhamis uchungu ukamshika wife tukamuwahisha hospital mapema kabisa lakin baada ya kujifungua mtoto akawa na complications zilizo pelekea mauti yake siku chache badae. Report ya kifo chake ikatolewa kwamba ni kulikua na meconium.
Sasa nataka nimuwajibishe daktar sio tu kulipia kısası ila pia kusaidia uzembe kama huu usitokee.
Nishaurini naanzia wapi wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sonographic detection of echogenic amniotic fluid and its clinical significance. - PubMed - NCBI
Habari wana jamvi,
Nimetoka kumaliza msiba wa mwanangu wa kwanza aliefariki siku chache baada ya kuzaliwa.
In short ishu ilikua hivi last Monday Feb 19th wife alienda kupiga ultra sound private hospital na akagundulika kuna meconium(maji machafu) kwenye mfuko wa mtoto, nikamshirikisha doctor wake wa tangu mwanzo akasema hicho kitu hakipo na haiwezekani. Alhamis uchungu ukamshika wife tukamuwahisha hospital mapema kabisa lakin baada ya kujifungua mtoto akawa na complications zilizo pelekea mauti yake siku chache badae. Report ya kifo chake ikatolewa kwamba ni kulikua na meconium.
Sasa nataka nimuwajibishe daktar sio tu kulipia kısası ila pia kusaidia uzembe kama huu usitokee.
Nishaurini naanzia wapi wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu..tatizo ni kuwa hawa madaktari wenu wanatofautiana utaalamu..huyu anaweza sema hivi mwingine akasema hivi, thats why ukiwa kwenye hospital kubwa huwa wanakuwa na jopo la madaktari..na kwenye ishu complex kama hii huwa wanachelewa sana kutoa maamuzi. Mimi mwenyewe nmeshapoteza mtoto kwenye mazingira kama hayo yako.
 
Ni kweli kabisa ila nilivyo muuliza Dr. Kuhusu meconium pale pale alikataa kuwepo kwa jambo hilo wakati alitakiwa kwa kutumia taaluma yake afanye vipimo na yeye vya kujiridhisha au hata kushauriana na jopo kama ulivyo sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta Wakili upige hela hapo kwenye iyo Medical Malpractice.

N.B. tafuta Wakili ambaye sio Msomi....(yani Wakili Msomi).
 
Ishu si kupiga hela kaka nachotaka ni kujaribu kutoa uzembe kama huu, hawa watu tunawalipa vizur afu end of the day wanatulipa hivi. Kuna leo na kesho kuna family nyingine itakumbwa na hii shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kesi inayowezekana na huna budi, pamoja na mambo mengine uthibitishe kuwa huyo ndie aliyekuwa daktari anayeshumshughulikia mkeo, na ana posses utaalam katika field hiyo (specialist) na kuwa alilio lifanya lilikuwa very well below the standard ambayo mtaalam wa kada kama hiyo asingeweza kufanya by applying "reasonable standard test"

- DUTY
- BREACH OF DUTY
- ESUING DAMAGE.
 
Back
Top Bottom